Walemavu, wazee, wasanii wasema ‘asante JPM’
Kwa mara ya kwanza, Rais John Magufuli amemteua mtu mwenye ualbino, Dk Possy Abdallah katika Baraza la Mawaziri kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV09 Oct
Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.
Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Magufuli alivyowakuna wazee, walemavu Mwanza
AHADI za kuanza kuwalipa wazee wote pensheni na kulinda maslahi ya watu wenye ulemavu wakiwamo we
Christopher Gamaina
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGpSjRawy16xZhKQZ4dRHkuPJegC3bfb7VwiZehHprWhkWl5cHHKKUAT1J55yupOgQTZIRarnUSdYMWQgz8YWng/wheelchair2.jpg?width=650)
WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
9 years ago
TheCitizen31 Dec
JPM’s team of accounting officers
9 years ago
TheCitizen21 Nov
Reaction: Thumbs up for JPM’s maiden speech
9 years ago
TheCitizen02 Dec
JPM’s gigantic tax collection task
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...