Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu wamjibu Rais Kikwete

>Siku tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa tamko la Jukwaa la Wakristo (TCF) kuwataka waumini wao kupigia kura ya ‘hapana’ Katiba Inayopendekezwa lilikuwa la hasira, viongozi hao wamejitokeza tena na kusisitiza kwamba msimamo wao huo utabaki kama ulivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wamjibu Kikwete

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...

 

9 years ago

Habarileo

Kasi ya Rais Magufuli yawavutia maaskofu

VIONGOZI wa makanisa mbalimbali nchini, wametoa salamu za Sikukuu ya Krismasi jana, wakielezea kufurahishwa na kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli. Wamesisitiza waumini wao, kumuombea Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka, kwa kuwa yamewekwa na Mungu. Viongozi hao pia, wamewataka watendaji wa Serikali na wananchi walioshiriki ukwepaji kodi, watubu dhambi zao na kurejesha vyote walivyochukua, ambavyo si halali yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

9 years ago

Michuzi

Maaskofu wafurahishwa Makamu wa Rais kukubali kuwa mgeni rasmi Tamasha la Krismasi

MAASKOFU wa madhehebu  mbalimbali wa Makanisa hapa Tanzania wamempongeza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kukubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo linalokwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la KKKT, Dk Alex Malasusa anasema ni jambo jema kumshukuru Mungu...

 

11 years ago

Dewji Blog

UVCCM Mbeya wamjibu Makonda

IMG_2163

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi.

Na Mwandishi wetu

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi, amesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya vijana wa chama hicho(UVCCM), wanatumika vibaya na wagombea na kukisemea chama bila utaratibu.

Madodi alisema hayo katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya, wakati wa Baraza kuu la UVCCM Mkoani hapa, ambalo lilifanyika kwa mujibu wa kanuni za umoja huo kwa ajili ya...

 

9 years ago

Mwananchi

UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana

Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya CCM (UVCCM) imesema uamuzi wa aliyekuwa kada wa chama hicho, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukihama chama hicho ni ukosefu wa uungwana  katika dhana ya siasa pamoja na uimla usiokubalika katika siasa za kileo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wamjibu Slaa, wasema tuhuma alizotoa zinalipasua taifa

Siku moja baada ya Dk Willibrod Slaa kuibuka na kuelezea kilichotokea wakati wa kumkaribisha Edward Lwoassa Ukawa na hatimaye kutangaza kuachana na siasa, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, James Mbatia amejibu tuhuma zilizotolewa na Dk Slaa huku akitahadharisha kuwa zinalenga kulipasua taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani