Madiwani wamgomea DC
Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara, wamemgomea Mkuu wa Wilaya hiyo, Crispin Meela kulihutubia baraza hilo wakidai amekuwa na tabia ya kumnyima ushirikiano Mbunge wa jimbo hilo, Pauline Gekul. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Madiwani Kalambo wamgomea mkurugenzi
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Philibert Ngaponda, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya madiwani kugoma kuendelea na kikao cha Baraza la Madiwani kutokana na kile...
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Ukawa wamgomea Kikwete
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo92hhGdzVCTK7FFQ4BMHeIaylzaRqF4PEywLB98xJVLtFI*418w5-eLYvQL-FlOTTfdGeKKuaAm4uxnVlijJI8-/tangaaa.jpg?width=650)
Henry, Berko wamgomea Logarusic
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Ukawa wamgomea Samuel Sitta
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAJUMBE wa Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba wamekutana jana kwa ajili ya kujadili hatima ya Bunge hilo linalotarajiwa kukutana Agosti 5, mwaka huu.
Kamati hiyo imekutana bila ya kuwepo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao pia ni wajumbe wa kamati hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho,...
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda