Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?

Nchini Uingereza watu wameanza kurejelelea shughuli zao za kawaida, watu kukutana, baadhi ya watoto wanarejea shuleni, maeneo ya maonyesho ya magari yanafunguliwa, na masoko kufunguliwa tena.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

ZANZIBAR KULEGEZA MASHARTI YA KUPAMBANA NA CORONA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema serikali inakusudia kulegeza masharti  yaliyowekwa Zanzibar ya kupambana na maradhi ya virusi vya Corona wakati wowote kuanzia sasa.
Rais Shein ametoa kauli hiyo katika salamu zake za Eid kwa wananchi wa Zanzibar baada ya kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo amesema hali ya sasa ni nzuri ambapo Zanzibar ina wagonjwa 34 tu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virus via corona: Italia kulegeza masharti ya usafiri na marufuku ya kutotoka nje

Uamuzi wa kulegeza masharti ya kutotoka nje unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

10 years ago

Habarileo

Uingereza yaombwa kulegeza masharti ya kupata viza

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema inaendelea kuisihi Uingereza na nchi nyinginezo kulegeza masharti ya viza kwa Watanzania na kupunguza usumbufu.

 

5 years ago

CCM Blog

UGANDA YATATHMINI UWEZEKANO WA KULEGEZA MASHARTI YA WATU KUTEMBEA

  Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hivi karibuni atatangaza iwapo atalegeza masharti ya watu kukaa nyumbani kutokana na mamabukizi ya Corona, katika taifa hilo ambalo limeshuhudia maambukizi ya watu 79.
Wakati huo huo rais Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.
Hatua hizo ni pamoja na kila lori kuwa na mtu mmoja - dereva pekee yake...

 

5 years ago

CCM Blog

ITALIA KAMA TANZANIA, YAANZA KULEGEZA MASHARTI YA USAFIRI NA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE


italiaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESSerikali ya Italia imeweka saini amri itakayoruhusu usafiri wa kuingia na kutoka nchini humo kuanzia Juni 3, inapojiandaa kulegeza marufuku ya kutotoka nje iliyowekwa kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona.Taifa hilo pia litaruhusu usafiri kati ya maeneo - ambayo kulikuwa kumedhibitiwa kuanzia siku hiyo.Uamuzi huo unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.Italia ina moja ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuna hatari gani ya maambukizi unapoogelea baharini na katika mabwawa?

Kwa kuwa hakuna tafiti za moja kwa moja kuhusu uhai wa virusi hivyo katika maji, shirika la Afya duniani WHO limepata mapendekezo yake kupitia ushahidi mwengine wa tafiti za kisayansi kuhusu virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rwanda na Afrika Kusini kulegeza marufuku ya kutotoka nje

Serikali ya Rwanda imepunguza ukali wa masharti iliyoweka kama hatua za kuzuia maambukizi ya virusi vya corona tangu wiki sita zilizopita.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?

Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani