ITALIA KAMA TANZANIA, YAANZA KULEGEZA MASHARTI YA USAFIRI NA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESSerikali ya Italia imeweka saini amri itakayoruhusu usafiri wa kuingia na kutoka nchini humo kuanzia Juni 3, inapojiandaa kulegeza marufuku ya kutotoka nje iliyowekwa kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona.Taifa hilo pia litaruhusu usafiri kati ya maeneo - ambayo kulikuwa kumedhibitiwa kuanzia siku hiyo.Uamuzi huo unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.Italia ina moja ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virus via corona: Italia kulegeza masharti ya usafiri na marufuku ya kutotoka nje
5 years ago
BBCSwahili01 May
Virusi vya corona: Rwanda na Afrika Kusini kulegeza marufuku ya kutotoka nje
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Coronavirus: Kwanini Rwanda imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje?
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje?
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Virusi vya corona: Trump hana 'mamlaka 'ya kuondoa marufuku ya kutotoka nje
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili wakati wa marufuku ya kutotoka nje
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Marufuku ya kutotoka nje ndio suluhu ya corona
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Je, marufuku ya kutotoka nje inaweza kudhibiti Corona Afrika?