Virusi vya corona: Trump hana 'mamlaka 'ya kuondoa marufuku ya kutotoka nje
Rais Donald Trump amedai kuwa anatumia nguvu zote ili kuhakikisha kuwa taifa kwa ujumla linajiondoa katika marufuku ya kutotoka nje kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, jambo ambalo linatofautiana na kile ambacho magavana na wataalamu wa sheria wamesema.
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania