ZANZIBAR KULEGEZA MASHARTI YA KUPAMBANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-gMXEeEsn_mY/Xstn0nlJCYI/AAAAAAAC6AA/wwSUMPsxLDYo6cluDl53Juaeje3w41iOACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema serikali inakusudia kulegeza masharti yaliyowekwa Zanzibar ya kupambana na maradhi ya virusi vya Corona wakati wowote kuanzia sasa.
Rais Shein ametoa kauli hiyo katika salamu zake za Eid kwa wananchi wa Zanzibar baada ya kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo amesema hali ya sasa ni nzuri ambapo Zanzibar ina wagonjwa 34 tu.
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virus via corona: Italia kulegeza masharti ya usafiri na marufuku ya kutotoka nje
10 years ago
Habarileo03 Feb
Uingereza yaombwa kulegeza masharti ya kupata viza
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema inaendelea kuisihi Uingereza na nchi nyinginezo kulegeza masharti ya viza kwa Watanzania na kupunguza usumbufu.
5 years ago
CCM BlogUGANDA YATATHMINI UWEZEKANO WA KULEGEZA MASHARTI YA WATU KUTEMBEA
Wakati huo huo rais Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.
Hatua hizo ni pamoja na kila lori kuwa na mtu mmoja - dereva pekee yake...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FzS1kTxjLgg/Xs5rHfXRP-I/AAAAAAALru8/7iKKZkm4UjEpwB2klmXHD6vtYMlaKEJlwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
ZANZIBAR YALEGEZA MASHARTI KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-FzS1kTxjLgg/Xs5rHfXRP-I/AAAAAAALru8/7iKKZkm4UjEpwB2klmXHD6vtYMlaKEJlwCLcBGAsYHQ/s400/index.jpg)
NDUGU WANANCHI,KWANZA KABISA HATUNA BUDI KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUTUJAALIA UZIMA NA AFYA NJEMA NA KUWEZA KUTIMIZA MOJA KATI YA NGUZO ZA KIISLAMU YA KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI, KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDDI EL-FITRI PAMOJA NA KUINGIA KATIKA MWEZI WA SHAWAL NA KWA WALE WANAOENDELEA NA FUNGA YA SITA NAWATAKIA FUNGA NJEMA.
NDUGU...
5 years ago
CCM Blog16 May
ITALIA KAMA TANZANIA, YAANZA KULEGEZA MASHARTI YA USAFIRI NA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE
![italia](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/11707/production/_112313417_c911463f-6626-468d-8d05-9eb52127315f.jpg)
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: Jitihada za Zanzibar kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona
5 years ago
BBCSwahili01 May
Virusi vya corona: Rwanda na Afrika Kusini kulegeza marufuku ya kutotoka nje