Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachama Simba SC waaswa kutorejea kosa

WANACHAMA wa klabu ya Simba wametakiwa kufanya uamuzi sahihi katika uchaguzi mkuu wa viongozi unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam Mei 4. Simba inatarajiwa kufanya uchaguzi huo baada ya uongozi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE WAASWA KUACHA KUCHAFUANA NA KUFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA


Na Shukrani Kawogo-Michuzi TV, Njombe.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wilayani Ludewa Mkoani Njombe ikiwemo nafasi ya ubunge wametakiwa kuacha kuchafuana na kufanya kampeni kabla ya nafasi hizo kutangazwa kuwa wazi kwani kwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kukatwa majina yao .

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilayani humo Bakari Mfaume na kuongeza kuwa kumekuwa na matamanio kwa baadhi ya wanachama...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama Simba chali

>Harakati za wanachama wa  Simba kuzuia uchaguzi wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika kesho zimegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali maombi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama Simba watwangana

>Pepo mbaya amezidi kuiandama Simba baada ya wanachama wanaodhaniwa kuwa wa klabu hiyo wanaotoka katika Matawi ya Mpira Pesa na Mpira Maendeleo kutwangana ngumi hadharani.

 

9 years ago

Mtanzania

Wanachama Simba wamtaka Kopunovic

kopunovicNA BARAKA JAMALI, MTWARA

WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...

 

10 years ago

GPL

WANACHAMA 7 WA SIMBA SC WAFARIKI KWA AJALI

Majeruhi wa ajali hiyo wakiokolewa. Gari lilivyopata ajali. Wanachama Saba (7) wa Klabu ya Simba ya Dar es salaam kutoka tawi la Mpira na Maendeleo (maarufu kama Simba UKAWA) ambalo limewahi kutangazwa kufutwa wamefariki dunia katika ajali ya basi jana Aprili 3, mkoani Morogoro. Akizungumza mmoja kati ya mashabiki hao Frank Ngowi amesema ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkundi nje kidogo ya manispaa ya Morogoro imetokana na gari...

 

11 years ago

GPL

Wanachama Simba wampa masharti Rage

Mwenyekiti wA Simba, Ismail Aden Rage. Said Ally na Omary Mdose
KATIKA kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay, baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wamempa masharti mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage, kuhusu agenda ya mkutano huo. Simba inatarajiwa kufanya mkutano wao ambao una ajenda moja ya kubadilisha katiba yao ambayo imepangwa na uongozi mkuu ukiongozwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Simba kukamilisha akidi kesho

WENYEVITI wa matawi ya klabu ya Simba nchini wanatarajia kukutana kesho Jumamosi kukamilisha akidi ya wanachama kwa ajili ya kufanya Mkutano Mkuu wa Dharura, kama katiba ya klabu yao inavyosema....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hiki ni kipindi muhimu kwa Wanachama wa Simba SC

UCHAGUZI Mkuu wa Klabu ya Simba, umepangwa kufanyika Juni 29, kupata safu mpya ya uongozi itakayoshika hatamu ya miaka minne ijayo. Kwa upande mwingine uchaguzi huu uliojaa kila aina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani