Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANACHAMA WA CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE WAASWA KUACHA KUCHAFUANA NA KUFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA


Na Shukrani Kawogo-Michuzi TV, Njombe.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wilayani Ludewa Mkoani Njombe ikiwemo nafasi ya ubunge wametakiwa kuacha kuchafuana na kufanya kampeni kabla ya nafasi hizo kutangazwa kuwa wazi kwani kwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kukatwa majina yao .

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilayani humo Bakari Mfaume na kuongeza kuwa kumekuwa na matamanio kwa baadhi ya wanachama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya CCM juu ya Wanaofanya Kampeni Kabla Ya Muda

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KATA YA LIFUMO,LUDEWA WAASWA KUACHA KULIMA KWENYE MKONDO WA MAJI


 Mabaki ya nyumba baada ya kufukiwa na maporomoko Baadhi ya nyumba zilizofukiwa na maporomoko Mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere akiangalia baadhi ya nyumba zilizofukiwa na kifusi Mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere akisaidiwa kuvuka mto unaomwaga maji yake ziwani na baadhi ya  wanakamati ya ulinzi na usalamaBaadhi ya makaburi yaliyofukuliwa na maporomoko
 Na Shukrani Kawogo, Njombe

Wakazi wa kata ya Lifumo iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe wametakiwa kuhama na kuacha kulima maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE YATOA MSAADA WA BARAKO 1000 KWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO PAMOJA NA WAENDESHA BODA BODA

Na Shukrani Kawogo, Njombe

Kutokana na kuenea kwa ungonjwa wa COVID 19 Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kimetoa msaada wa barakoa elfu moja kwa wafanyabiashara ndogondogo pamoja na vituo vya bodaboda vilivyopo maeneo ya mjini.

Akizungumza katika zoezi hilo la ugawaji Mwenyekiti wa vijana wa chama hicho ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa na wilaya Theopista Mhagama amesema kuwa wameamua kugawa barakoa hizo katika makundi hayo kwakuwa yanamuingiliano mkubwa wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MAZAO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo wilaya ya Ludewa iliyopo mkoani Njombe imepelekea kufanya uharibifu wa mazao mbalimbali ikiwemo mahindi na kushusha kiwango cha uzalishaji kutoka tani laki moja na elfu kumi na moja kwa mwaka jana mpaka kufikia tani isiyozidi laki moja kwa mwaka huu 
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere amesema wilaya yake inaongoza kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi katika mkoa wa Njombe ambapo...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,

Pichani Kulia ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (enzi za uhai wake),wakati Dkt Mgufuli alipopita kwenye jimbo hilo wakati wa kampeni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule, Kepteni William Silaa pamoja na abiria wengine wawili ambao wameaga...

 

9 years ago

Mwananchi

HONDOHONDO : Kampeni za kufarakanisha, kuchafuana

Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu duniani kote ni cha propaganda. sera huwa hazipewi nafasi kubwa majukwaani isipokuwa kashfa, uzushi, matusi, uongo na kuchafuana huku wanawake wakitumika kama kete ya ushindi na kashfa.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yawaita 16 kwa kuanza kampeni kabla

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma kimewaita kwenye Kamati ya Kanuni na Maadili wanachama wake 16 kwa kuvunja miiko ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya wakati.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA


 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana.  Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa  CCM  Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani