CCM yawaita 16 kwa kuanza kampeni kabla
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma kimewaita kwenye Kamati ya Kanuni na Maadili wanachama wake 16 kwa kuvunja miiko ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya wakati.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziWANACHAMA WA CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE WAASWA KUACHA KUCHAFUANA NA KUFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA
Na Shukrani Kawogo-Michuzi TV, Njombe.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wilayani Ludewa Mkoani Njombe ikiwemo nafasi ya ubunge wametakiwa kuacha kuchafuana na kufanya kampeni kabla ya nafasi hizo kutangazwa kuwa wazi kwani kwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kukatwa majina yao .
Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilayani humo Bakari Mfaume na kuongeza kuwa kumekuwa na matamanio kwa baadhi ya wanachama...
5 years ago
MichuziSAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WANA CCM WALIOANZA KAMPENI KABLA YA WAKATI,ASEMA WANAYO MAJINA YAO
5 years ago
CCM BlogDK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.
11 years ago
MichuziKABLA YA KUANZA KWA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA-SOMO LATOLEWA KUHUSU MALARIA NO MORE
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
10 years ago
VijimamboKAMPENI YA " NDIO ! FUSO NI FAIDA " KWA MIKOA ZAIDI YA 11 KUANZA LEO TAREHE 24 JULY ,2015 ,JIJINI DAR
Ndio! FusoniFaida is back!
Diamond Motors Limited is the country’s leading automobile distributor and the sole distributor of Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation (MFTBC) in Tanzania. They will once again be launching the campaign, Ndio! FusoniFaida where over a 26-day 11 region Test Drive andRoad Show in which they will be showcasing the FJ and launching the FZ; Fuso medium and heavy-duty truck which are suitable for the purpose of mining, agriculture, construction, logistics and...
10 years ago
Michuzi9 years ago
VijimamboTAARIFA YA TATHIMINI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA KWA TIKETI YA CCM.
Hadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa 12 na Majimbo 94. Amekwishafanya mikutano mikubwa ya hadhara 76 na mikutano ya barabarani 381. Amekwishatembea, kwa gari, jumla ya kilomita 13,720. Kwa ujumla amekwishakutana, moja kwa moja, na asilimia zaidi ya 30 ya wapiga kura. Kwa kuwa baadhi ya mikutano yetu inatangazwa moja kwa moja na redio za kijamii na luninga, wapiga kura...