Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uadilifu katika kodi kuipaisha nchi kiuchumi



NA WILLIAM SHECHAMBOENDAPO kila Mtanzania atalipa kodi kwa uadilifu na serikali ikitumia mapato hayo kama inavyostahili, Tanzania inaweza  kuingia kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja, imeelezwa. Sababu nyingine, ambayo imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania, ni uzalendo wa kununua bidhaa za nyumbani na kudai risiti. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, wakati wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

5 years ago

CCM Blog

NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani. 
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa. 
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video. 
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa. 
Mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inaweza kuzipiku nchi za A. Mashariki kiuchumi

Mtangamano wa Afrika Mashariki umekuwapo kwa muda mrefu tangu wakati wa ukoloni, nchi ya Tanganyika, Kenya na Uganda zikiwa makoloni ya Uingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali: Nishati ya gesi asilia itaipaisha nchi kiuchumi

Utafiti wa mafuta na gesi asilia ulianza miaka ya 1950, lakini kutokana na teknolojia duni na hali ya uchumi wa taifa wakati huo, zoezi hilo lilisitishwa. Taarifa za kupatikana kwa rasilimali hiyo muhimu kulifufua matumaini ya Serikali kuimarisha uchumi wake.

 

10 years ago

Vijimambo

MH. STEPHEN WASIRA AJIVUNIA REKODI YA UADILIFU KATIKA MBIO ZA URAIS

Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Mh. Stephen Wassira amesema kuwa rekodi yake ya uadilifu katika utumishi wa serikali, kutohusishwa na vitendo vya rushwa na ufisadi pamoja na malezi mema aliyolelewa na hayati baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere tangu akiwa kijana ni mambo yaliyomsukuma kutangaza nia ya kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi ili kuwatumikia wananchi ambao wanakabiliwa na changamoto za umaskini.

Mh.Wassira ambaye pia ni mjumbe wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi

Sakata la wafanyabiashara kufunga maduka kwa siku kadhaa katika baadhi ya miji nchini wakipinga matumizi ya Mashine za Risiti za Kieletroniki (EFD) limeelezwa kukumbwa na vikwazo kutoka kwa baadhi ya vigogo kunufaika na mashine hizo.

 

5 years ago

Michuzi

WADAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI KUANZA KUSAKWA NCHI NZIMA


Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza operesheni maalum ya kuwasaka wadaiwa wote sugu ya kodi ya pango la ardhi na kuwafikisha katika vyombo vya sheria ili kufidia madeni wanayodaiwa.

Akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa katika jiji la Dodoma leo tarehe 6 Machi 2020 Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Methew Nhonge alisema opresheni hiyo inaanza leo kwa nchi nzima ambapo wamiliki wote waliopelekewa ilani za madai wanatakiwa kulipa madeni...

 

9 years ago

Bongo5

Website maarufu ya Marekani Buzzfeed yaitaja Tanzania nchi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani

enhanced-7309-1430834722-9

Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.

enhanced-7309-1430834722-9

Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.

Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:

Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.

Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani