Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. STEPHEN WASIRA AJIVUNIA REKODI YA UADILIFU KATIKA MBIO ZA URAIS

Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Mh. Stephen Wassira amesema kuwa rekodi yake ya uadilifu katika utumishi wa serikali, kutohusishwa na vitendo vya rushwa na ufisadi pamoja na malezi mema aliyolelewa na hayati baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere tangu akiwa kijana ni mambo yaliyomsukuma kutangaza nia ya kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi ili kuwatumikia wananchi ambao wanakabiliwa na changamoto za umaskini.

Mh.Wassira ambaye pia ni mjumbe wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAISN 2015; STEPHEN WASIRA NAYE ATANGAZA NIA AKIWA MWANZA

Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza wakati akitangaza nia ya kuwania Urasi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili 
Mei 31, 2015. Wasira anakuwa mtu wa tatu kutangaza nia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere na Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa.Wasira akisalimiana na Mbunge wa TarimeWasira akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira ajipigia mstari mbio za urais

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amesema kama chama chake, CCM, kitampa fursa ya kuwania wadhifa wa urais, atasimama kwenye mstari wa uadilifu na ufanisi ili kulinda heshima ya cheo hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

UADILIFU: Tuna tatizo la maadili ya uongozi - Wasira

>Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu) Stephen Wasira amekiri kuwa Tanzania inakabiliwa na tatizo la maadili katika uongozi. Kuna haja ya kuweka sheria kali kwa ajili ya kudhibiti hali hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Tovuti ya Mhe. Stephen Wasira jijini Dar es salaam leo

Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo.  Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Unaweza kuzipata kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi. Mbunge wa Serengeti Mhe. Dr. Kebwe alikuwepo pia.  Tovuti inapatikana:  www.stephenwasira.co.tz Muonekano wa tovuti ya Mhe Stephen Wasira wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkenya aweka rekodi mpya ya Mbio



Mwanariadha Wilson Kipsang ashinda mbio za Berlin Marathon mwaka uliopitaMwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon zilizondaliwa mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 alishinda mbio hizo kwa muda wa saa mbili,dakika na sekunde 57 ambapo aliivunja rekodi ya awali kwa sekunde sita

Rekodi ya awali iliwekwa na mkenya mwenzake Wilson Kipsang katika mbio hizo mwaka uliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani