Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UADILIFU: Tuna tatizo la maadili ya uongozi - Wasira

>Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu) Stephen Wasira amekiri kuwa Tanzania inakabiliwa na tatizo la maadili katika uongozi. Kuna haja ya kuweka sheria kali kwa ajili ya kudhibiti hali hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Kimiti: Tuna tatizo la uongozi

Dodoma. Waziri wa zamani na mwanasiasa wa siku nyingi nchini, Paul Kimiti (74) amesema nchi inakabiliwa na tatizo la uongozi na utendaji serikalini kiasi cha watu wanaoharibu kazi kutochukuliwa hatua. Kimiti, ambaye amewahi kuongoza wizara tofauti tangu mwaka 1982, alisifu Serikali ya Awamu ya Kwanza akisema ilikuwa na wasaidizi makini wa Rais ambao walijua mambo mengi na kumfikishia mkuu wa nchi ambaye pia alifanyia kazi taarifa hizo. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi, mwanasiasa...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. STEPHEN WASIRA AJIVUNIA REKODI YA UADILIFU KATIKA MBIO ZA URAIS

Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Mh. Stephen Wassira amesema kuwa rekodi yake ya uadilifu katika utumishi wa serikali, kutohusishwa na vitendo vya rushwa na ufisadi pamoja na malezi mema aliyolelewa na hayati baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere tangu akiwa kijana ni mambo yaliyomsukuma kutangaza nia ya kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi ili kuwatumikia wananchi ambao wanakabiliwa na changamoto za umaskini.

Mh.Wassira ambaye pia ni mjumbe wa...

 

9 years ago

Michuzi

Ahadi ya Uadilifu itaimarisha maadili ya kibiashara, huduma kwa umma

Na Mwandishi Wetu 
“Suala la maadili si jipya, Watanzania watakumbuka tangu enzi la Azimio la Arusha misingi ya maadili imekuwa ikisisitizwa kama kijenzi muhimu cha ufanisi katika utoaji wa huduma kwa umma,” ni kauli ya Tixon Nzunda, Naibu Kamishna wa Maadili aliyoitoa siku ya uzinduzi wa Ahadi ya Uadilifu, Agosti 14, 2015, Ikulu Dar es Salaam. 
Kauli hii inasadifu ninachotaka kukieleza hapa katika makala haya na kwa hakika kumpa kongole Rais anayemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa maadili tatizo sugu kwa vijana

>Maadili ni hatua muhimu ambayo humtambulisha binadamu ndani ya jamii yake. Katika hali ya kawaida maadili hujitokeza katika matendo, kwa vile ndicho kielelezo sahihi cha kupima maadili ya jamii fulani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Uongozi bora tatizo Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema matatizo na migogoro mingi inayotokea barani Afrika inasababishwa na kutokuwapo kwa uongozi na utawala bora.  Sumaye alibainisha kuwa ili kutimiza  sera ya uongozi na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUZINDUA KOZI YA UONGOZI NA MAADILI YA CHUO CHA MWALIMU NYERERE.

 Mhadhiri wa Chuo Cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere,Shadrack Mwakalila akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani) juu ya kozi ya uongozi na maadili ya chuo hicho ,Kushoto ni Mhadhiri Msasidizi wa Chuo Cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere,Amon Katunzi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka)  
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
Rais Dk.Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kozi ya uongozi na maadili iliyoanzishwa na Chuo cha Kumbukumbu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani