Kimbunga Tambwe chaikumba Oljoro
Mshambuliaji Amis si Tambwe amefunga mabao matatu peke yake na kuisaidia Simba kuisambaratisha Oljoro JKT 4-0 jana katika mechi ya Ligi Kuu bara iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Oct
Kimbunga Koppu, chaikumba Ufilipino
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Kimbunga Jaja chaikumba Azam
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Rhino, Oljoro kubaki ni kudra
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Ni Simba vs Oljoro, Ashanti vs Mgambo
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanajitupa ndani ya dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuwaalika maafande wa JKT Oljoro ya Arusha katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom,...
9 years ago
StarTV09 Nov
JKT Oljoro yatinga kileleni.
Maafande wa JKT Oljoro wametinga kileleni mwa kundi C baada ya kuwachezesha kwata maafande wenzao wa Polisi Tabora kwa bao 1-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Haikuwa rahisi kwa wafunga buti hao wa Oljoro kupata bao hilo mapema kwani iliwabidi wasubiri hadi kipindi cha kwanza kimalizike.
Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kuanza kwa kasi baada ya makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko ya wachezaji , mabadiliko hayo yalizaa matunda kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoDiqdZbsB03YxHibHDF5PXQ3vCox-ROD2Bio*AlcXEgWu9WKmLYj8xmLz*QMEpTyuJQoA6ksBnC3L10nN9Ytxw/JKTOLJORO.jpg?width=650)
Morocco atamba kuipaisha Oljoro
11 years ago
Tanzania Daima08 May
JKT Oljoro yapania daraja la kwanza
TIMU ya JKT Oljoro imepania kukabili ushindani wa ligi Daraja la Kwanza kwa kuanza maandalizi mapema ikiwemo kuingia kambini na kujifua kwa mazoezi magumu ili waweze kurejea Ligi Kuu ya...
9 years ago
StarTV04 Nov
JKT Oljoro wazidi kung’ara.
Wafunga buti wa JKT Oljoro kwa mara nyingine wametoka na ushindi baada ya kuwachezesha gwaride wachimba madini wa Geita gold sports mabao 2- 1 mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.
Maafande hao wa JKT Oljoro wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kuinyuka timu ya Geita gold sports magoli 2 kwa 1 mchezo ambao ulianza kwa kasi kwa kila timu kuonekana kuupania mchezo huo uliotimua vumbi katika viunga vya Sheikh Amri Abeid...
10 years ago
TheCitizen14 Nov
Relief as JKT Oljoro pip Rhino