Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbunga Jaja chaikumba Azam

Mshambuliaji Genilson Santana ‘Jaja’ jana alikuwa na kazi moja ya kunyamazisha wanaombeza baada ya kufunga mabao mawili na kuiongoza Yanga kuichapa Azam 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kimbunga Tambwe chaikumba Oljoro

Mshambuliaji Amis si Tambwe amefunga mabao matatu peke yake na kuisaidia Simba kuisambaratisha Oljoro JKT 4-0 jana katika mechi ya Ligi Kuu bara iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kimbunga Koppu, chaikumba Ufilipino

Kimbunga kikali kiitwacho, Koppu kimeikumba Ufilipino na kusababisha mvua kubwa,huku upepo ukienda kwa kasi ya kilomita 200 kwa saa.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja aipaisha Yanga

Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0  kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jaja habari ya mjini

T IMU ya Yanga, jana ilitwaa Ngao ya Jamii baada ya kuwachakaza Azam mabao 3-0 katika mechi kali iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni uzinduzi rasmi...

 

11 years ago

Mwananchi

Coutinho amfunika Jaja

Kiungo mpya  wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho amemfunika mwenzake Genilson Santos ‘Jaja’ kwa umahiri wa kupachika mabao katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kimbunga chaua Ufilipino

Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.

 

9 years ago

Bongo5

Musi: Kimbunga – Happy

Kimbunga

Rapper Kimbunga ameachia wimbo mpya unaitwa “Happy”, Studio No Name Music.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri: Jaja ni mtu hatari

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema nyota wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ni mshambuliaji hatari na mwenye akili nyingi anapofika golini.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Tegete wang’ara

‘Wametoa gundu’. Hicho ndicho unachoweza kusema kwa Jerryson Tegete na Genilson Santos ‘ Jaja’ walipofungia Yanga kwa mara ya kwanza, wakati Simba wameendeleza rekodi ya sare jijini Mbeya na Azam wakiambulia kipigo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani