Musi: Kimbunga – Happy
Rapper Kimbunga ameachia wimbo mpya unaitwa “Happy”, Studio No Name Music.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Kimbunga chaua Ufilipino
Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Kimbunga chawahangaisha maelfu ya Wafilipino
Waokoaji nchini Ufilipino wanatatizika kuwaokoa maelfu ya watu wanaokisiwa kuwa wamehamishwa makwao na mvua kubwa inayonyesha huko
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
‘Saidieni waliokumbwa na kimbunga Mbarali’
WAZAWA wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wameombwa kujitokeza kusaidia familia 86 zilizopo eneo la Manienga ambazo hazina makazi kutokana na nyumba zao kuezuliwa na kimbunga. Tukio hilo lililoezua nyumba...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kimbunga chavuruga makazi, barabara
Upepo mkali uliovuma mithili ya kimbunga, umeezua mapaa ya nyumba zipatazo 200 katika Mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro na kusababisha mamia ya familia, kokosa mahali pa kuishi.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kimbunga Uingereza chasababisha maafa
Maelfu ya nyumba Uingereza hazina umeme huku usafiri wa umma ukiathiriwa na upepo mkali unaovuma nchini humo
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Kimbunga Jaja chaikumba Azam
Mshambuliaji Genilson Santana ‘Jaja’ jana alikuwa na kazi moja ya kunyamazisha wanaombeza baada ya kufunga mabao mawili na kuiongoza Yanga kuichapa Azam 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Al Qaeda wapigwa na kimbunga Yemen
Kimbunga cha aina yake kimepiga maeneo yanayothibitiwa na wanamgambo wa Al-Qaeda katika pwani ya bahari ya Arabia huko Yemen.
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Kimbunga chawahamisha maelfu Japan
Serikali ya Japan imewashauri karibu watu nusu milioni kuhama makwao na kutafuta hifadhi kwengineko wakati kimbunga kikali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOoUTirdT2Vx4wYU*KXxtk3QJyfIj3hvCR*Jm3dvSxagmp3M7ltwIVIOWhMuEyU36iJMSjruf8FGyJc3Twwj*jpw/kimbunga.jpg)
KIMBUNGA CHAUA 6 NCHINI INDIA
Upepo mkali ukivuma leo katika ufukwe wa Gopalpur huko Orissa, India. Taswira kutoka katika Hoteli ya Park iliyopo Visakhapatnam wakati kimbunga hicho kikipita. WATU sita wamepoteza maisha nchini India baada ya kimbunga kiitwacho Hudhud kupiga eneo la pwani ya India kikiwa na…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania