Kimbunga chavuruga makazi, barabara
Upepo mkali uliovuma mithili ya kimbunga, umeezua mapaa ya nyumba zipatazo 200 katika Mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro na kusababisha mamia ya familia, kokosa mahali pa kuishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Makazi, mazao, barabara zaathirika
Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda wa siku tatu mfululizo mkoani Morogoro, zimeathiri kwa kiwango kikubwa makazi ya watu, miundombinu ya barabara na mazao ya mashambani.
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji
Mamilioni ya raia wa Nigeria wanaishi katika maisha duni kupita kiasi.
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Kimbunga chaua Ufilipino
Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.
9 years ago
Bongo501 Dec
Musi: Kimbunga – Happy

Rapper Kimbunga ameachia wimbo mpya unaitwa “Happy”, Studio No Name Music.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Al Qaeda wapigwa na kimbunga Yemen
Kimbunga cha aina yake kimepiga maeneo yanayothibitiwa na wanamgambo wa Al-Qaeda katika pwani ya bahari ya Arabia huko Yemen.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Kimbunga Tambwe chaikumba Oljoro
Mshambuliaji Amis si Tambwe amefunga mabao matatu peke yake na kuisaidia Simba kuisambaratisha Oljoro JKT 4-0 jana katika mechi ya Ligi Kuu bara iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Kimbunga chafanya uharibifu Vanuatu
Kimbunga kikali chakumba kisiwa cha Vanuatu katika kile umoja wa mataifa unasema kinaweza kuwa janga baya zaidi eneo la Pacific
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania