Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wafunga barabara Dodoma kuzuia maandamano

>Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro inayopita mbele ya jengo la Bunge jana ilifungwa na polisi kwa zaidi ya saa tano kuzuia maandamano yaliyoandaliwa na Chadema kupinga vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wafunga barabara

Wakazi wa Kijiji Melela Mangae, Kata ya Melela, wilayani Mvomero, wamefunga barabara ya Morogoro- Iringa kwa zaidi ya saa sita wakishinikiza kuondolewa kwa wafugaji wa jamii ya Kimasai kijijini hapo kwamba wamekuwa wakiwapiga na kuingiza mifugo mashambani.

 

10 years ago

Vijimambo

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo.Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.
WANANCHI wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa, wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo kituoni hapo pamoja na mafaili.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, tukio hilo limetokea leo asubuhi kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika...

 

10 years ago

GPL

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo. Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga…

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

11 years ago

GPL

KIROBA CHA MAHINDI KARIBU KISABABISHE AJALI BARABARA YA BAGAMOYO DAR

Mzigo uliotaka kusababisha ajali barabara ya Bagamoyo. Mwenye mzigo akiusogeza kando.   Kaubeba na kuupeleka…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Mivinjeni wafunga barabara

WAKAZI wa Mivinjeni, Kata ya Kurasini, jijini Dar es Salaam, jana asubuhi walifunga barabara huku wakiandamana kwa kile walichodai kucheleshewa kulipwa fidia zao. Walijipanga barabarani na kuzuia magari kupita, kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani