Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wafunga barabara

Wakazi wa Kijiji Melela Mangae, Kata ya Melela, wilayani Mvomero, wamefunga barabara ya Morogoro- Iringa kwa zaidi ya saa sita wakishinikiza kuondolewa kwa wafugaji wa jamii ya Kimasai kijijini hapo kwamba wamekuwa wakiwapiga na kuingiza mifugo mashambani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

10 years ago

GPL

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo. Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga…

 

10 years ago

Vijimambo

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo.Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.
WANANCHI wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa, wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo kituoni hapo pamoja na mafaili.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, tukio hilo limetokea leo asubuhi kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanakijiji wafunga Barabara ya Kia

Wakazi wa vijiji vinne vinavyopakana na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), jana mchana walifunga kwa muda barabara ya kutoka nje ya uwanja huo na kuzuia hali ya sintofahamu kwa wageni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Mivinjeni wafunga barabara

WAKAZI wa Mivinjeni, Kata ya Kurasini, jijini Dar es Salaam, jana asubuhi walifunga barabara huku wakiandamana kwa kile walichodai kucheleshewa kulipwa fidia zao. Walijipanga barabarani na kuzuia magari kupita, kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Abiria wa MV Victoria wafunga barabara

ABIRIA walisafiri kwa meli ya Mv Victoria wanaotokea Mkoani Kagera kuelekea jijini Mwanza wamefunga barabara kuu za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani za Rwanda na Burundi baada ya kukwama katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani