Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji wafunga Barabara ya Kia

Wakazi wa vijiji vinne vinavyopakana na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), jana mchana walifunga kwa muda barabara ya kutoka nje ya uwanja huo na kuzuia hali ya sintofahamu kwa wageni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wafunga barabara

Wakazi wa Kijiji Melela Mangae, Kata ya Melela, wilayani Mvomero, wamefunga barabara ya Morogoro- Iringa kwa zaidi ya saa sita wakishinikiza kuondolewa kwa wafugaji wa jamii ya Kimasai kijijini hapo kwamba wamekuwa wakiwapiga na kuingiza mifugo mashambani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wafunga barabara Bangkok

Waandamanaji nchini Thailand wameanza kufunga barabara mjini Bangkok kwa lengo la kuiong'oa serikali ya nchi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Mivinjeni wafunga barabara

WAKAZI wa Mivinjeni, Kata ya Kurasini, jijini Dar es Salaam, jana asubuhi walifunga barabara huku wakiandamana kwa kile walichodai kucheleshewa kulipwa fidia zao. Walijipanga barabarani na kuzuia magari kupita, kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Abiria wa MV Victoria wafunga barabara

ABIRIA walisafiri kwa meli ya Mv Victoria wanaotokea Mkoani Kagera kuelekea jijini Mwanza wamefunga barabara kuu za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani za Rwanda na Burundi baada ya kukwama katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafunga barabara kudai misaada Kahama

Waathirika wa mvua ya mawe ya barafu iliyosababisha vifo vya watu 46 katika Kijiji cha Mwakata wilayani Kahama jana alfajiri walifunga barabara kuu ya Kahama-Dar es Salaam- Mwanza na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Wamachinga wafunga barabara Dar, 24 mbaroni

Polisi wa doria wakipita kando ya moto wa matairi uliowashwa na kundi la wafanyabiashara ndogo ‘machinga’ katika Barabara ya Nyerere eneo la Kamata Dar es Salaam jana baada ya kupambana na mgambo wa jiji wanaokamata bidhaa zao. (Picha na Mroki Mroki).WAFANYABIASHARA ndogo (machinga) wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, jana walizua vurugu katika mitaa ya eneo hilo, kupinga operesheni ya kuwaondoa kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa huku wakitaka walio katika maeneo ya barabarani ndiyo waondolewe.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wafunga barabara Dodoma kuzuia maandamano

>Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro inayopita mbele ya jengo la Bunge jana ilifungwa na polisi kwa zaidi ya saa tano kuzuia maandamano yaliyoandaliwa na Chadema kupinga vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini hapa.

 

10 years ago

GPL

TEMBO WAFUNGA BARABARA KUMSAIDIA MWENZAO ALIYEDONDOKA

Tembo wakiwa wamemzunguka mwenzao kumpatia msaada. SUALA la umoja si kwa wanadamu pekee bali hata wanyama kama tembo nao wanao umoja miongoni mwao. Katika tukio lililonaswa kwenye video huko nchini Afrika Kusini na kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube linawaonyesha tembo walioamua kufunga barabara na kusababisha foleni ya magari ili wamuokoe mwenzao aliyedondoka katikati ya barabara hiyo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani