Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIROBA CHA MAHINDI KARIBU KISABABISHE AJALI BARABARA YA BAGAMOYO DAR

Mzigo uliotaka kusababisha ajali barabara ya Bagamoyo. Mwenye mzigo akiusogeza kando.   Kaubeba na kuupeleka…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA AFYA CHA AAR HEALTHCARE CHAHAMIA BARABARA YA BAGAMOYO MAENEO YA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Kituo maarufu cha afya cha AAR Healthcare sasa kimehamia ghorofa ya pili katika jengo la Tropical Centre lililopo barabara ya New Bagamoyo road na Uporoto Street maeneo ya Victoria jijini Dar es salaam, kutoka mtaa wa Chato, na kinaendelea kutoa huduma zake bora kwa wananchi katika mazingira ya kisasa zaidi kila siku kwa kuanzia saa moja unusu asubuhi hadi saa mbili usiku. Muonekano wa jengo la Tropical Centre barabara ya Bagamoyo maeneo ya Victoria jijini Dar es salaam ambapo kituo cha AAR...

 

9 years ago

Dewji Blog

Papa Wemba awasili Dar, aelekea Bagamoyo kwenye Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie akimtambulisha kwa wenyeji wao. Mwanamuziki Papa Wemba akiwa katika picha ya pamoja na wasanii alioambatana nao waliomo katika bandi yake mara baada ya kutua Tanzania tayari kufanya mashambulizi katika Tamasha la...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015

MWANAMUZIKI nguli wa ndansi kutoka nchini Congo (DRC) Papa Wemba amewasili usiku huu jijini Dar es Salaam tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. 
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ). 
 Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo

IMG_1480

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.

IMG_1480

IMG_1468

IMG_1469

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

MATAYARISHO YA MATENGENEZO YA KUREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA DAR — BAGAMOYO YAENDELEA

Mawasiliano ya barabara kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yamejifunga kutokana na barabara hiyo kubomolewa na maji katika Daraja la Mpiji mpakani mwa mikoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanikiwa kufika katika eneo hilo mara tu baada ya kupokea taarifa za kukatika kwa barabara hiyo. Akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Mussa Iyombe pamoja na watendaji wengine kutoka TANROADS, Waziri Magufuli amewaagiza watendaji hao...

 

11 years ago

Dewji Blog

Updates: Matengenezo ya kurejesha wawasiliano ya barabara kati ya Dar — Bagamoyo yaendelea

Picha 1

Sehemu ya barabara iliyoomole katika Daraja la Mpiji kwenye barabara ya Dar es Salaam Bagamoyo.

Mawasiliano ya barabara kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yamejifunga kutokana na barabara hiyo kubomolewa na maji katika Daraja la Mpiji mpakani mwa mikoa wa Dar es Salaam na Pwani.

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanikiwa kufika katika eneo hilo mara tu baada ya kupokea taarifa za kukatika kwa barabara hiyo. Akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Mussa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani