Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo

IMG_1480

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.

IMG_1480

IMG_1468

IMG_1469

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KIFUSI CHA UDONGO CHAFUNIKA BARABARA WILAYANI LUDEWA


Baadhi ya wasafiri wakitokea wilayani Ludewa kuelekea njombe mjini, wakivuka upande wa pili kwaajili ya kupanda gari jingine lililotokea njombe baada ya mlima kuporomoka na kuziba barabara eneo la Jongojongo lililopo wilayani humo na kupelekea mabasi kubadilishana abiria.

 

5 years ago

Michuzi

DC KAWAWA AAGIZA CHANZO CHA MACHIMBO YA MCHANGA KISIMAMIWE KUINUA MAPATO BAGAMOYO

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO 
MKUU Wa Wilaya Ya Bagamoyo ,Zainab Kawawa ameiagiza halmashauri ya Bagamoyo kutumikia wananchi kwa maslahi mapana ya jamii pamoja na kusimamia chanzo kikuu cha machimbo ya mchanga ambacho kinalegalega na kusababisha kushuka kwa mapato. 
Aidha mkuu huyo wa wilaya, ameelekeza kupatiwa maelezo ya kina ni kwanini mashine za makusanyo (posi) zinazimwa na kushindwa kukusanya mapato kwa muda mrefu na hivyo kuhitaji maelezo ofisini kwake. 
Akizungumza na watumishi na...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA AFYA CHA AAR HEALTHCARE CHAHAMIA BARABARA YA BAGAMOYO MAENEO YA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Kituo maarufu cha afya cha AAR Healthcare sasa kimehamia ghorofa ya pili katika jengo la Tropical Centre lililopo barabara ya New Bagamoyo road na Uporoto Street maeneo ya Victoria jijini Dar es salaam, kutoka mtaa wa Chato, na kinaendelea kutoa huduma zake bora kwa wananchi katika mazingira ya kisasa zaidi kila siku kwa kuanzia saa moja unusu asubuhi hadi saa mbili usiku. Muonekano wa jengo la Tropical Centre barabara ya Bagamoyo maeneo ya Victoria jijini Dar es salaam ambapo kituo cha AAR...

 

11 years ago

Michuzi

kifusi chakwamisha biashara bagamoyo

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwa kutojali uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli  hayo. Wametoa mfano wa Kifusi kilichomwagwa zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli. Picha na Chris Mfinanga

 

11 years ago

GPL

KIROBA CHA MAHINDI KARIBU KISABABISHE AJALI BARABARA YA BAGAMOYO DAR

Mzigo uliotaka kusababisha ajali barabara ya Bagamoyo. Mwenye mzigo akiusogeza kando.   Kaubeba na kuupeleka…

 

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

10 years ago

Dewji Blog

TANCIS kupunguza muda na kuiongezea mapato serikali

DSC_0002

Mkurugenzi Mkazi wa ASASI isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yaekob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka makundi ya vijana na waandishi wa habari juu ya masuala ya haki kwenye kodi linaloendelea kwenye hoteli ya Seascape jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi wetu

MAMLAKA mbalimbali ambazo zinawajibika kwa namna moja au nyingine katika kuwezesha mizigo mbalimbali inayoingia nchini...

 

10 years ago

GPL

TANCIS KUPUNGUZA MUDA NA KUIONGEZEA MAPATO SERIKALI‏

Mkurugenzi Mkazi wa asasi isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yacob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka makundi ya vijana na waandishi wa habari juu ya masuala ya haki kwenye kodi linaloendelea kwenye hoteli ya Seascape jijini Dar. Meneja uratibu na mahusiano wa Action Aid Tanzania Bibi Jovina Nawenzake akielezea historia fupi ya…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani