Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kifusi chakwamisha biashara bagamoyo

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwa kutojali uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli  hayo. Wametoa mfano wa Kifusi kilichomwagwa zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli. Picha na Chris Mfinanga

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo

IMG_1480

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.

IMG_1480

IMG_1468

IMG_1469

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA: Bagamoyo kuwa jiji la viwanda, biashara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji (EPZA) imesema mradi wa uendelezaji wa maeneo maalumu ya uwekezaji katika mji wa Bagamoyo ukikamilika utasaidia mji huo kuwa jiji kubwa la viwanda na...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO CHAWAFUNDA MAOFISA BIASHARA WA NCHI 15

Mtaalamu wa kujadili mikataba kutoka World Trade Organization (WTO), Prof. Dickson Yeboah akitoa mada jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kutoka nchi 15 za Afrika Mashariki, Afrika ya Kati na Afrika Kusini kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu Uwekezaji na Biashara. Mkutano huo umeandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Na Happiness Katabazi
CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimesema kitaendelea kuandaa...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

 Naibu Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB),  anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Dk. Elifuraha Mtalo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoaj na washiriki  wa mkutano kuwajengea uwezo maofisa wa serikali wa kujadili mikataba inayohusu uwekezaji pamoja na biashara, walipotembelea  Ofisi za Chuo Kikuu cha Bagamoyo zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo

Mkurugenzi wa kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman (kulia) akihutubia wakati uzinduzi wa mashindano ya Mbio Ndefu ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yanatarajiwa kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu mjini Bagamoyo Mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Bagamoyo, Pwani leo. Wengine kutoka kushoto ni, Kaimu Ofisa Michezo Wlaya ya Bagamoyo, Hamisi Kimenya, Mwenyekiti wa Riadha Tanzania Mkoa wa Pwani, Joseph Luhende na Mkurugenzi Msaidizi Ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Hudumaza Afya kutoka Wizara ya...

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.

Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.

Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...

 

10 years ago

GPL

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON LAFANA WILAYANI BAGAMOYO

Washiriki wa mbio wakiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbaruku ya Bagamoyo wakisubiri kupewa zawadi. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Dk. Shukuru Kawambwa akiwa na baadhi ya washiriki wa michezo.…

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa) THE 33RD BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE 22 — 28 SEPTEMBER, 2014 CALL FOR ARTISTS

Dear Artists,
We would like to invite you (individual artist/groups) to apply for the participation and performance in the 33th Bagamoyo International Festival of Arts and Culture which will take place at the institute (TaSUBa - Bagamoyo) from 22 - 28 September 2014.

The aim of this festival is to support and expose activities of the artists, encourage cooperation and friendship of both local and international artists, promote mutual cultural exchange, share experiences 
and give the...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani