Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFUSI CHA UDONGO CHAFUNIKA BARABARA WILAYANI LUDEWA


Baadhi ya wasafiri wakitokea wilayani Ludewa kuelekea njombe mjini, wakivuka upande wa pili kwaajili ya kupanda gari jingine lililotokea njombe baada ya mlima kuporomoka na kuziba barabara eneo la Jongojongo lililopo wilayani humo na kupelekea mabasi kubadilishana abiria.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya -SACP Ahmed Msangi--WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA BARABARA KWAKUTUMIA ZANA ZA MIKONO WILAYANI LUDEWA


Na Amiri kilagalila,NjombeWANANCHI wa kijiji na kata ya Ibumi wilayani Ludewa mkoa wa Njombe  wamejitokeza kwa wingi wakiwa na zana za mikono kwenda kurekebisha barabara ya kutoka Ibumi kuelekea Ludewa mjini.
Barabara hiyo inayounganisha kata za Ibumi na Ludewa imeharibika zaidi katika eneo la mlima Nyamikuyu na eneo la mto ketewaka na madenge hasa katika kipindi hiki cha masika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Zoezi la harambee ya kurekebisha barabara hiyo kwa kutumia majembe,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo

IMG_1480

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.

IMG_1480

IMG_1468

IMG_1469

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Amiri Kilagalila,Njombe. Wananchi wa kitongoji cha Mking’ino kijiji cha Luvuyo kata ya Madope wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji chao na vijiji  jirani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii. Wakazi hao akiwemo Erasto Mtega, Junitha Mbukwa na Stia Chaula wamesema asilimia kubwa ya wakazi wa eneo hilo ni wakulima wa mazao ya viazi mviringo na mahindi lakini changamoto ya ubovu wa barabara inawalazimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa

SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MAZAO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo wilaya ya Ludewa iliyopo mkoani Njombe imepelekea kufanya uharibifu wa mazao mbalimbali ikiwemo mahindi na kushusha kiwango cha uzalishaji kutoka tani laki moja na elfu kumi na moja kwa mwaka jana mpaka kufikia tani isiyozidi laki moja kwa mwaka huu 
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere amesema wilaya yake inaongoza kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi katika mkoa wa Njombe ambapo...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KATA YA MBWILA NA LIFUMA WILAYANI YA LUDEWA WAUNGANA KUFANYA MAENDELEO

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ludewa (Kulia) akishirikiana na wananchi kuchimba barabara inayotoka kata ya Mbwila kwenda Lifuma. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ludewa(Kulia) akiwa na baadhi ya wananchi wakipita katika barabara baada ya kumaliza zoezi la uchimbaji.  Wananchi wakikata ikiwa ni harakati ya kut engeneza barabara
 Wananchi wa kata ya Mbwila na Lifuma wakichimba barabara
 Wananchi wa kata ya Mbwila na Lifuma  wakichimba barabara Na Shukrani Kawogo

Mwenyekiti wa halmashauri ya Ludewa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA WATALAAM TISA ILIYOUNDWA KWA AJILI YA KUTIMIZA NDOTO YA MZEE KISANGANI YATUA WILAYANI LUDEWA


Na Shukrani Kawogo

WAJUMBE wa Kamati ya Wataalamu tisa  iliyoundwa na mawaziri wanne kutoka  Wizara mbalimbali ili kumsaidia mzee Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) kuweza kupanua kiwanda chake kwa kupata malighafi, eneo kubwa, pamoja na vitu muhimu ambavyo vitamsaidia kukuza kiwanda hicho imewasili wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo itafanya kazi hiyo kwa muda wa siku 15.

Kamati hiyo iliundwa Machi 30 mwaka huu na Waziri wa Madini Dotto Biteko, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani