Updates: Matengenezo ya kurejesha wawasiliano ya barabara kati ya Dar — Bagamoyo yaendelea
Mawasiliano ya barabara kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yamejifunga kutokana na barabara hiyo kubomolewa na maji katika Daraja la Mpiji mpakani mwa mikoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanikiwa kufika katika eneo hilo mara tu baada ya kupokea taarifa za kukatika kwa barabara hiyo. Akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Mussa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MATAYARISHO YA MATENGENEZO YA KUREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA DAR — BAGAMOYO YAENDELEA
Mawasiliano ya barabara kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yamejifunga kutokana na barabara hiyo kubomolewa na maji katika Daraja la Mpiji mpakani mwa mikoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanikiwa kufika katika eneo hilo mara tu baada ya kupokea taarifa za kukatika kwa barabara hiyo. Akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Mussa Iyombe pamoja na watendaji wengine kutoka TANROADS, Waziri Magufuli amewaagiza watendaji hao...
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanikiwa kufika katika eneo hilo mara tu baada ya kupokea taarifa za kukatika kwa barabara hiyo. Akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Mussa Iyombe pamoja na watendaji wengine kutoka TANROADS, Waziri Magufuli amewaagiza watendaji hao...
11 years ago
GPL
MATAYARISHO YA MATENGENEZO YA KUREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA DAR – BAGAMOYO YAENDELEA
Sehemu ya barabara iliyobomolewa katika Daraja la Mpiji kwenye barabara ya Dar es Salaam - Bagamoyo.
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akipokea maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Alhaj Mussa Iyombe (aliyenyoosha mkono). Kulia ni Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete.…
11 years ago
Michuzi
updates: Taswira za Maendeleo ya ujenzi wa barabara na vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam





10 years ago
Michuzi5 years ago
Michuzi
ZAIDI YA BILIONI 25 KUTUMIKA MATENGENEZO YA BARABARA



11 years ago
GPL
KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…
11 years ago
Michuzi.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA
Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo. Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...
11 years ago
GPLKIROBA CHA MAHINDI KARIBU KISABABISHE AJALI BARABARA YA BAGAMOYO DAR
Mzigo uliotaka kusababisha ajali barabara ya Bagamoyo. Mwenye mzigo akiusogeza kando.  Kaubeba na kuupeleka…
10 years ago
Michuzi23 May
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania