Dk. Magufuli Atamba
BAKARI KIMWANGA NA PETER FABIAN, MAGU
MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania wamchague awe rais kwani atateua waziri mkuu mchapakazi atakayesimamia shughuli za Serikali wakati wote.
Amesema kwamba, anahitaji kuwa na baraza dogo la mawaziri litakalokuwa tayari kwenda kwa wananchi kutatua kero zao.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni za lala salama zilizofanyika katika Majimbo ya Magu, Sumve,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Oct
Magufuli atamba
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amejigamba kuwa endapo atachaguliwa, atakuwa rais wa mfano barani Afrika. Aidha amesema akiwa waziri wa kawaida anaamini amefanya kazi kubwa na inayoonekana kulinganishwa na iliyofanywa na mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.
9 years ago
Habarileo24 Sep
Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’
SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoDiqdZbsB03YxHibHDF5PXQ3vCox-ROD2Bio*AlcXEgWu9WKmLYj8xmLz*QMEpTyuJQoA6ksBnC3L10nN9Ytxw/JKTOLJORO.jpg?width=650)
Morocco atamba kuipaisha Oljoro
10 years ago
Habarileo12 Aug
Julio atamba kufanya maajabu
KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Mina atamba kumfunika Rubby
NA SHARIFA MMASI
MSANII chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Amina Hussein ‘Mina’, ametamba kumpoteza Rubby kwenye ramani ya muziki kutokana na uwezo mkubwa alionao.
Mina hivi sasa anafanya vizuri mkoani Kilimanjaro na wimbo wake unaoitwa ‘Najiamini’.
“Kwa sasa muziki wangu unasikika na kupendwa zaidi mikoani, kikubwa ambacho nitakifanya ili nitimize azma yangu ni kujikita katika utunzi kitu ambacho Rubby hawezi pamoja na kutengeneza ‘network’ kubwa ndani na nje ya Tanzania,” alisema Mina...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Tegete atamba ameanza ligi
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete ameanza tambo baada ya kufunga mabao matatu katika mechi tatu alizocheza akiwa na timu yake ya Mwadui FC ya Shinyanga.
10 years ago
Habarileo20 Jun
JK atamba mafanikio mapambano ya rushwa
RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga wadau wa maendeleo, ameendelea kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne, aliyoiongoza kwa miaka kumi sasa katika sekta mbali mbali, ambapo mara hii amezungumzia mapambano dhidi ya rushwa.
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Nooij atamba kuifunga Misri
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Mart Nooij, amewatoa hofu Watanzania kwa kuwahakikishia kuwa kikosi chake kitaibuka na ushindi dhidi ya timu ya Misri, katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2017, mchezo utakaopigwa Juni 14, katika uwanja wa Borg El Arab, jijini Alexandria.
Jumla ya msafara wa watu 34 uliondoka jana kuelekea Addis Ababa, nchini Ethiopia, kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo huo, wakiwemo...