Julio ashika kibarua cha Kerr
Kibarua cha kocha wa Simba, Dylan Kerr kimewekwa kwenye mchezo wa Jumamosi baina yao na Mwadui ya Shinyanga iliyo chini ya beki wa zamani wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
LOGARUSIC: Kocha mwenye kibarua cha kutafuna mfupa uliowashinda Kibadeni, Julio
TIMU ya Simba yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, kwa sasa iko chini ya Kocha mpya Zdravco Logarusic, raia wa Croatia aliyesaini mkataba wa miezi...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr
Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Said Ally,
Dar es Salaam
WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zikidai kumpa mechi nne tu kocha wao, Muingereza, Dylan Kerr kuhakikisha anapata matokeo ya ushindi, kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ametamba kuwa ataanza kumfungisha virago Mzungu huyo kwa kukifunga kikosi chake.
Muingereza, Dylan Kerr.
Simba na Mwadui zinatarajia kukutana kesho Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kwenye...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
10 years ago
Mtanzania22 May
Kibarua cha Nooij shakani
ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Mart Nooij raia wa Uholanzi, yupo shakani kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya aliyopata kwenye michuano ya Kombe la Cosafa.
Stars imeambulia vipigo kwenye mechi mbili za awali za Kundi B la michuano hiyo na timu ndogo Swaziland (1-0) na Madagascar (2-0), leo itamalizia ratiba kwa kuchuana na Lesotho iliyoko juu yake.
Habari za ndani zilizoifikia MTANZANIA jana zimeeleza kuwa,...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Kibarua cha mama kumpa mwanawe 'Bangi'
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Kibarua cha Makata, Kagera kwisha kazi
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini