LOGARUSIC: Kocha mwenye kibarua cha kutafuna mfupa uliowashinda Kibadeni, Julio
TIMU ya Simba yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, kwa sasa iko chini ya Kocha mpya Zdravco Logarusic, raia wa Croatia aliyesaini mkataba wa miezi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Julio ashika kibarua cha Kerr
Kibarua cha kocha wa Simba, Dylan Kerr kimewekwa kwenye mchezo wa Jumamosi baina yao na Mwadui ya Shinyanga iliyo chini ya beki wa zamani wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Kibadeni amfunika Logarusic
Kocha Mkuu wa Simba, Zdavko Logarusic ‘Loga’ ametimiza mechi 10 za Ligi Kuu Bara akiwa amekusanya pointi 12 lakini amezidiwa na Abdalah Kibadeni, ambaye aliinoa na timu hiyo kwenye mzunguko wa kwanza kwani alikusanya pointi 20 katika idadi hiyo ya mechi.
11 years ago
TheCitizen25 Feb
Kibadeni: Give Logarusic time
Former Simba SC head coach Abdallah Kibadeni has called on his former employers to give Zdravko Logarusic more time to settle into the job. Frustration is growing at the Msimbazi Street heavyweights following a series of unimpressive results. Simba have nicked just two points from their last four matches.
9 years ago
Mwananchi18 Oct
Julio kumjaribu Kibadeni leo
Ni vita kali baina ya makocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ dhidi ya Abdallah Kibaden ‘King’.
9 years ago
Habarileo10 Nov
Kibadeni kocha Kili Stars
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Kocha Kibadeni arudishwa Simba
Rais wa Simba, Evans Aveva amemrudisha kundini kocha wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni kwa kumteua kuwa makamu wa mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu hiyo.
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Kocha Liewig apata kibarua Azam
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Liewig amepewa kazi ya kukinoa kikosi cha vijana cha Azam akichukua nafasi ya kocha Vivek Nagul aliyebwaga manyanga wiki iliyopita.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s72-c/kibadeniii.jpg)
KOCHA KIBADENI KUANZA KUINOA KILIMANJARO STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s400/kibadeniii.jpg)
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi zingine zinazoshiriki michuano hiyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania