Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Peter Manyika atoa ‘single’ ya tatu

Manyika PeterNA MWANDISHI WETU

KOCHA wa makipa wa Timu ya Taifa, Peter Manyika, ameachia wimbo wa tatu aliouita ‘Karudi Baba Mmoja’ akinukuu vitabu vya zamani vilivyokuwa vikifundishiwa shuleni.

Wimbo huo wenye mahadhi ya Zouk ameimba kwa ustadi mkubwa akieleza kisa kizima cha baba huyo aliyerudi toka safari ya mbali aliyewataka watoto wake wakitaka urithi wataupata shambani.

“Niliamua kuimba kwa mafunzo, lengo likiwa ni kuwataka vijana wafanye kazi wasifikirie mali za kure bure badala ya kufanya kazi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO


 Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Peter Kisumo aliyefariki dunia jioni ya tarehe 3 Agosti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa marehemu Pater Kisumo, Hosiana Kisumo nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isevya ,Upanga,Dar es Salaam.(Picha na Adam Mzee) BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBILAMBI KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa na kuhuzunishwa mno na kifo cha mmoja wa wanasiasa wa kongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhaminiwa Chama cha CCM naaliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
“Nimepokeakwamasikitikomakubwanahuzuninyingitaarifayakifo cha Mzee Peter Kisumoambayenimejulishwaaliagaduniajana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika atoa siku tatu

MBUNGE wa Ubungo John Mnyika, amempa siku tatu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko, kuuelezea umma matokeo ya uchunguzi uliopaswa kufanyika kubaini kama matatizo ya mara kwa mara ya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.

Balozi Peter Kallaghe leo amekutana na Uongozi na Team Captains wa timu inayowakilisha Tanzania katika Mashindano ya African Nations Cup UK 2014.  Mashindano hayo yanategemewa kuanza Kesho katika Viwanja vya WESTHAM MEMORIAL GROUNDS. MEMORIAL AVENUE E15 3BD.   WATANZANIA WOTE MNAOISHI UINGEREZA HUSUSAN MAENEO YA LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KUISHANGILIA TIMU YETU. RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE NI KAMA ILIVYOAMBATANISHWA.   Kituo cha Karibu ni WESTHAM STATION iliyoko...

 

5 years ago

Michuzi

DK.TULIA ATOA NENO KUHUSU FEDHA ALIZOTOA RAIS MAGUFULI ILI KUMTOA GEREZANI MCHUNGAJI PETER MSIGWA WA CHADEMA


Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya jamii

NAIBU Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson ameamua kutoa maoni yake kwenye mjadala unaoendelea baada ya Rais Dk.John Magufuli kutoa fedha Sh.milioni 38 kwa ajili ya kumsaidia Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa ili atolewe gerezani baada ya kuhumiwa miezi mitano jela au kulipa faini ya Sh.milioni 40.

Amesema kilichofanywa na Rais Magufuli kwa Mchungaji Msigwa ni jambo jema na wakati mwingine watu huwa wanafikiri viongozi hawana ile hisia za kawaida,...

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na upande wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbarawa atoa siku tatu ukarabati wa reli

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO), kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa inaunganishwa ndani ya siku tatu.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATOA SIKU TATU UKARABATI RELI YA KATI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma za treni kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete kuona athari zilizosababishwa na mafuriko yaliotokana na mvua zilizonyesha katika mikoa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani