DK.TULIA ATOA NENO KUHUSU FEDHA ALIZOTOA RAIS MAGUFULI ILI KUMTOA GEREZANI MCHUNGAJI PETER MSIGWA WA CHADEMA
Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya jamii
NAIBU Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson ameamua kutoa maoni yake kwenye mjadala unaoendelea baada ya Rais Dk.John Magufuli kutoa fedha Sh.milioni 38 kwa ajili ya kumsaidia Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa ili atolewe gerezani baada ya kuhumiwa miezi mitano jela au kulipa faini ya Sh.milioni 40.
Amesema kilichofanywa na Rais Magufuli kwa Mchungaji Msigwa ni jambo jema na wakati mwingine watu huwa wanafikiri viongozi hawana ile hisia za kawaida,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: RAIS MAGUFULI AMNUSURU KIFUNGO MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA,AMLIPIA FAINI
Hatua hiyo imefikiwa leo Machi 12,2020 baada ya familia kwenda kuomba msaada kwa Rais Magufuli baada ya wao kuchangishana na kufanikiwa kupata sh. Milioni mbili tu na kushindwa kutimiza fedha hizo...
5 years ago
MichuziRAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMNUSURU KIFUNGO MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA,AMLIPIA SHILINGI MILIONI 38
Hatua hiyo imefikiwa leo Machi 12,2020 baada ya familia kwenda kuomba msaada kwa Rais Magufuli kufuatia wao kuchangishana na kufanikiwa kupata sh. Milioni mbili tu na kushindwa kutimiza...
9 years ago
MichuziWAFUASI 60 WA CHADEMA AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MAWE MKUU WA FFU NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITOKA KUMSIKILIZA DR MAGUFULI .....
Na MatukiodaimaBlogJESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 60 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge wao jimbo la Iringa...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Mchungaji Msigwa ambeza JK kuhusu ujangili
5 years ago
MichuziKIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...
5 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziCHIKU ABWAO: HERI YA MONICA MBEGA WA CCM KULIKO MCHUNGAJI MSIGWA WA CHADEMA NAOMBA NICHAGUENI MIMI SAFARI HII
Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni za Ubunge jana kata ya Kihesa alisema iwapo atakuwa mbunge wao atahakikisha anakuwa mbunge wa mfano wa kuwaletea maendeleo sahihi.
Kwani alisema kuwa historia ya jimbo hilo...
5 years ago
MichuziRAIS JOHN MAGUFULI ABAINISHA KAYA HEWA 73,5621 ZILIVYOTAFUNA YA FEDHA ZA TASAF , ATOA ONYO KALI
*Ataja Wilaya zilizoongoza kwa kuwa na kaya hewa, pia zilizofanikiwa kudhibiti
*Azindua awamu ya tatu ya TASAF, ataja watakaonufaika wamo wazee, walemavu
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu.
RAIS Dk.John Magufuli amesema pamoja na mafanikio makubwa ambayo yamepatikana nchini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) bado kumekuwepo na changamoto nyingi ikiwemo ya kubainika kwa fedha za mfuko huo ambazo zilikuwa zinalipa kaya hewa 73,5621 huku akitoa onyo kwa kali kwa watakaobainika kufuja...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua karakana ya kisasa ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyojengwa kwa Sh8.5 bilioni kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.
Rais Magufuli amesema ingawa ugonjwa huo umesambaa katika maeneo mbalimbali dunia bado Tanzania...