WAZIRI MBARAWA ATOA SIKU TATU UKARABATI RELI YA KATI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Foqz65KoPzQ/VonKhaqfOjI/AAAAAAAIQFo/IONLp1wGUE8/s72-c/38408933-e546-44d0-8ffd-4d6754b44f2b.jpg)
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma za treni kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete kuona athari zilizosababishwa na mafuriko yaliotokana na mvua zilizonyesha katika mikoa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Mbarawa atoa siku tatu ukarabati wa reli
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Sh1.5/- trilioni zahitajika ukarabati wa reli ya kati
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yTp07TP255o/XmfglGuRc-I/AAAAAAAEGMs/Ctb1fhBBLJoKBZjK89LB1t0MRIZ0eZHaQCLcBGAsYHQ/s72-c/6b6104e9-5b5a-4071-bcbe-17e4c02cf921.jpg)
BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA
Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020.
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QH8fURey8qM/XmB4TlA3ewI/AAAAAAALhFE/CDr1F74eVukawJ-h2_rH9BuS0rrcKQHmACLcBGAsYHQ/s72-c/1c767af1-bc14-4f08-b70f-59a4c54d13d1.jpg)
UKARABATI WA RELI YA KATI WAFIKIA 76%, BENKI YA DUNIA YAFANYA ZIARA KUONA MAENDELEO YA AMRADI
Benki hiyo ambayo ni wafadhili wa ukarabati wa mradi wa reli ya kati, hufanya ukaguzi mara kwa mara kwa lengo la kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika ili kukamilisha ukarabati huo.
Mtaalamu wa maswala ya elimu ya mazingira kutoka Benki ya Dunia Bi. Elina Kashangaki amesema kuwa wanafarijika kuona kwamba kazi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MRBtiNDAO7o/XnMCy5jeYmI/AAAAAAALkYk/8l89aFFCN8gcz0BURGVmy3RSFgV8g9R9gCLcBGAsYHQ/s72-c/1938f9fe-b097-4db5-80f5-8cf5943b1e36.jpg)
WAZIRI KAMWELWE AITAKA LATRA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA MABASI,ATOA SIKU TATU KUHAKIKISHA ZINARATIBU AGIZO HILO
SERIKALI imeziagiza Halmashauri za Majiji na Miji kukaa na Mamlaka za Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) ili kuweka utaratibu maalum ambao utadhibiti mrundikano na wingi wa watu kwenye vituo vikuu vya mabasi.
LATRA na Halmashauri hizo zimepewa siku tatu kuhakikisha zinaratibu agizo hilo ikiwa ni hatua za serikali katika kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Waziri wa Ujenzi,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jk550vKcogI/VIWRf-Y6ExI/AAAAAAAG2Bc/X-YCNP6Yb1M/s72-c/unnamed%2B(78).jpg)
Waziri Mwakyembe apokea mabehewa yatakayo boresha usafiri katika reli ya kati
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jk550vKcogI/VIWRf-Y6ExI/AAAAAAAG2Bc/X-YCNP6Yb1M/s1600/unnamed%2B(78).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VFccIln3M5I/VIWRhm36ZbI/AAAAAAAG2Bk/UXjjkbXPttI/s1600/unnamed%2B(81).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Mnyika atoa siku tatu
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika, amempa siku tatu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko, kuuelezea umma matokeo ya uchunguzi uliopaswa kufanyika kubaini kama matatizo ya mara kwa mara ya...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
DC atoa siku saba kwa Ushirika Mpanda kati
5 years ago
CCM BlogRC HAPI:ATOA SIKU TATU UONGOZI WA SOKO MAFINGA KUBORESHA HUDUMA YA CHOO
NA FREDY MGUNDA,MAFINGA. WAFANYABIASHA wa soko kuu la Mafinga mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa huduma bora ya choo kwa kuwa inahatarisha afya za...