Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKARABATI WA RELI YA KATI WAFIKIA 76%, BENKI YA DUNIA YAFANYA ZIARA KUONA MAENDELEO YA AMRADI

Benki ya Dunia imeanza ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa ukarabati wa reli ya kati - TIRP kuanzia Dar es Salaam Kuelekea Isaka - Tabora, hivi karibuni, Machi 2020.

Benki hiyo ambayo ni wafadhili wa ukarabati wa mradi wa reli ya kati, hufanya ukaguzi mara kwa mara kwa lengo la kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika ili kukamilisha ukarabati huo.

Mtaalamu wa maswala ya elimu ya mazingira kutoka Benki ya Dunia Bi. Elina Kashangaki amesema kuwa wanafarijika kuona kwamba kazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA


Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020. 
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Dunia yainusuru reli ya kati

Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati ya Afrika Mashariki umeongezewa nguvu ya kifedha baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia (WB) kupitisha kiasi cha Dola300 milioni za Marekani (Sh490 bilioni) kugharimia sehemu ya reli hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh1.5/- trilioni zahitajika ukarabati wa reli ya kati

Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahaco), imesema kiasi cha Sh1.5 trilioni kinahitajika kukarabati reli ya kati ili iweze kurudi katika hali yake ya kawaida.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATOA SIKU TATU UKARABATI RELI YA KATI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma za treni kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete kuona athari zilizosababishwa na mafuriko yaliotokana na mvua zilizonyesha katika mikoa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Reli ya Kati iboreshwe kwa maendeleo ya taifa

Ukosefu wa mabehewa na injini za treni za kutosha katika Reli ya Kati ni moja ya changamoto zinazoikabili sekta ya uchukuzi hapa nchini hasa linapokuja suala la usafirishaji wa mizigo mingi kutoka bandari ya Dar es Salaam kwenda mikoani au nchi jirani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) yafanya Bonanza la Nanenane mkoani Lindi

1

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi. Miriam Mtima akizungumza wakati wa kufungua bonanza la Nanenane lilioandaliwa na benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB), jana mkoani Lindi.

2

Mkurugenzi wa Mikopo wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Bwana Robert Paschal akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa uzinduzi wa bonanza la Nanenane katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi jana.

4

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi Miriam Mtima akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa bonanza la...

 

10 years ago

Vijimambo

Kamati ya Bunge ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi yafanya ziara ya kikazi Jijini Dubai

 Mhe. James Lembeli katika picha ya pamoja na Mhe. Omar Mjenga Balozi Mdogo wa Tanzania, DubaiKamati ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. James Lembeli, imefanikiwa kuitembelea Manispaa ya Dubai na Mji wa Michezo wa Dubai (Dubai Sports City).
Aidha, Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliongozana na Kamati. Ziara hii fupi imekuwa ya mafanikio makubwa, kwani kamati pamoja wajumbe wengine wamekubaliana masuala muhimu ambayo wameona yanafaa kuishairi Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DAR YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na wajumbe hao katika Manispaa ya Kinondoni kabla ya kuanza kwa ziara. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda. Wajumbe wakiwasili Kata ya Mabwepande kukagua ujenzi wa Hospitali ya Mabwepande. Mhandisi wa Majengo wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Brighton Kimaro akiwaongoza Meya wa Manispaa hiyo Yusuf Mwenda (kushoto), Mkuu wa Mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA KATI YA MAHAKAMA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA PAMOJA NA WADAU WENGINE WA MAHAKAMA KUJADILI JUU YA MABORESHO YA HUDUMA YA UTOAJI HAKI NCHINIMhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (katikati), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi  wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa tatu kulia), Bw. Waleed Malik, Mtaalam kutoka BENKI ya Dunia, (wa tatu kushoto), Mhe. Adel Kent, Jaji kutoka Mahakama Canada  (wa pili kushoto), Bw. Menbere kutoka Mahakama-Ethiopia (wa pili kulia), Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani