Benki ya Dunia yainusuru reli ya kati
Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati ya Afrika Mashariki umeongezewa nguvu ya kifedha baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia (WB) kupitisha kiasi cha Dola300 milioni za Marekani (Sh490 bilioni) kugharimia sehemu ya reli hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yTp07TP255o/XmfglGuRc-I/AAAAAAAEGMs/Ctb1fhBBLJoKBZjK89LB1t0MRIZ0eZHaQCLcBGAsYHQ/s72-c/6b6104e9-5b5a-4071-bcbe-17e4c02cf921.jpg)
BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA
Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020.
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QH8fURey8qM/XmB4TlA3ewI/AAAAAAALhFE/CDr1F74eVukawJ-h2_rH9BuS0rrcKQHmACLcBGAsYHQ/s72-c/1c767af1-bc14-4f08-b70f-59a4c54d13d1.jpg)
UKARABATI WA RELI YA KATI WAFIKIA 76%, BENKI YA DUNIA YAFANYA ZIARA KUONA MAENDELEO YA AMRADI
Benki hiyo ambayo ni wafadhili wa ukarabati wa mradi wa reli ya kati, hufanya ukaguzi mara kwa mara kwa lengo la kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika ili kukamilisha ukarabati huo.
Mtaalamu wa maswala ya elimu ya mazingira kutoka Benki ya Dunia Bi. Elina Kashangaki amesema kuwa wanafarijika kuona kwamba kazi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ELa_s2B9LbA/VYExNbu451I/AAAAAAAHgXs/g4q4Og1hfKo/s72-c/photo%2B1.jpeg)
WARSHA KATI YA MAHAKAMA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ELa_s2B9LbA/VYExNbu451I/AAAAAAAHgXs/g4q4Og1hfKo/s640/photo%2B1.jpeg)
10 years ago
Michuzi14 Oct
MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF
11 years ago
Habarileo25 Jun
Reli ya kati kuimarishwa
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
‘Tumieni reli ya kati kibiashara’
11 years ago
Habarileo25 Jul
Matumaini Reli ya Kati yaonekana
MATUMAINI ya kuboreshwa kwa Reli ya Kati kwa lengo la kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo, yanazidi kuonekana baada ya serikali kuingiza mabehewa 25, ambayo ni maalumu kwa usafirishaji wa vifaa vya ukarabati wa njia hiyo.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Wajapani kukarabati Reli ya Kati
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Wasafiri reli ya kati wakwama
NA RABIA BAKARI
MAMIA ya wasafiri waliokuwa wanaelekea mikoa ya kati na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL),wamekwama baada ya safari hizo kuahirishwa ghafla.
Treni hiyo ambayo ilianza safari wiki iliyopita baada ya kusimama kufanya kazi kwa miezi kadhaa, jana iliendelea kuwa kitendawili baada ya kusitisha ghafla safari hizo bila abiria kutangaziwa mapema.
Wiki iliyopita, TRL ilitoa tangazo la kuanza safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko, na...