Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwakyembe apokea mabehewa yatakayo boresha usafiri katika reli ya kati

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa alipopokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia kitu wakati wa kupokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tumeboresha usafiri wa Reli ya Kati - Mwakyembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe amesema watamaliza kipindi chao utawala wa awamu ya nne kwa kuimarisha usafiri wa Reli ya Kati uliokuwa ‘umekufa’ kwa muda mrefu.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa Reli ya Kati wazua kizaazaa Dar

Zaidi ya abiria 1,500 waliotarajia kusafiri na treni ya Reli ya Kati jana, walikwama jijini Dar es Salaam baada ya kufika na kutangaziwa kupitia vipaza sauti kuwa hakuna treni na kutakiwa kupanga foleni kwa ajili ya kurudishiwa nauli.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)

Waziri wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya  ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi  ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi  ya TCAA.Wapili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa bodi hiyo Mbwana Mbwana.Kulia ni makamu Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe apokea ripoti ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005

 Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 Bw. Boniface Kadili (wa pili kushoto) akifafanua jambo  kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati wa kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma  taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 mara baada ya kuipokea mapema hii...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UCHUKUZI DK. HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA JENGO LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kutoka kulia ) Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba , Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar, Dk. Juma Akir (kushoto) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafii wa Anga Tanzania(TCCA) Dk. Nyamajeje Weggoro, wakishirikiana kukata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la TCAA. Uzinduzi huo ulikua sehemu ya maadhimisho ya Siku yaKimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe Apokea Ujumbe wa Wadau wa Michezo toka Nchini Misri


Kiongozi wa ujumbe toka nchini Misri akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati ujumbe huoulipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo jijini Dar es Salaam mapema hii leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya sekta ya michezo ikiwemo la ujenzi wa eneo changamani la michezo.
Balozi wa Misri nchini, Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MABEHEWA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dkt. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya jijini Dar es salaam leo Desemba 8,2014.Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akiangalia jiko ambalo liko ndani ya behewa la daraja la pili kwenye moja ya mabehewa 22 yaliwasili nchini mwisho wa wiki,...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATOA SIKU TATU UKARABATI RELI YA KATI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma za treni kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete kuona athari zilizosababishwa na mafuriko yaliotokana na mvua zilizonyesha katika mikoa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani