Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumeboresha usafiri wa Reli ya Kati - Mwakyembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe amesema watamaliza kipindi chao utawala wa awamu ya nne kwa kuimarisha usafiri wa Reli ya Kati uliokuwa ‘umekufa’ kwa muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe apokea mabehewa yatakayo boresha usafiri katika reli ya kati

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa alipopokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia kitu wakati wa kupokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo...

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa Reli ya Kati wazua kizaazaa Dar

Zaidi ya abiria 1,500 waliotarajia kusafiri na treni ya Reli ya Kati jana, walikwama jijini Dar es Salaam baada ya kufika na kutangaziwa kupitia vipaza sauti kuwa hakuna treni na kutakiwa kupanga foleni kwa ajili ya kurudishiwa nauli.

 

11 years ago

Habarileo

Mwakyembe- Reli ilikuwa ICU

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2014/15 iliyopitishwa juzi bungeni, itaifanya reli ianze kukimbia.

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe afukuza kazi vigogo 6 wa Reli

Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza wafanyakazi sita wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wafukuzwe kazi na polisi wawakamate na kuwalaza rumande kuanzia jana kutokana na tuhuma za wizi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Canada kuboresha usafiri wa reli

WIZARA ya Uchukuzi  imefikia makubaliano ya ushirikiano na Canada kwa lengo la kuiboresha sekta ya reli hiyo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu, Monica Mwamnyange, alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatangaza mageuzi usafiri wa reli

Serikali imekamilisha taratibu za ununuzi wa vichwa vipya 13 vya treni na mabehewa 355 ambayo yataanza kuwasili nchini kati ya Julai na Desemba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwakyembe: Usafiri wa anga umefanikiwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema sekta ya usafiri wa anga imefanikiwa hasa kwa miaka ya hivi karibuni, jambo linalowahamasisha wenye makampuni ya ndege kuongeza ushindani. Alisema hayo mbele...

 

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kuimarishwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajapani kukarabati Reli ya Kati

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya, amesema Serikali yake imeweka mpango mkakati wa kuifanyIa matengenezo Reli ya Kati, kikiwemo kipande cha kati ya Kilosa na Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani