Waziri Mwakyembe apokea ripoti ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005
![](https://1.bp.blogspot.com/-T8Ax3sjg0_c/XmJYOZj6DAI/AAAAAAALhig/eui8hDta6FYRAVDFBgqwUjGikeBZm_JkACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 Bw. Boniface Kadili (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati wa kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 mara baada ya kuipokea mapema hii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pZ14WeZS1fw/Xme4qHyqgsI/AAAAAAALifM/mgeRxGQajyoe9grVjjOuNH2r3aM28HX0QCLcBGAsYHQ/s72-c/04.jpg)
Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO 2005
![](https://1.bp.blogspot.com/-pZ14WeZS1fw/Xme4qHyqgsI/AAAAAAALifM/mgeRxGQajyoe9grVjjOuNH2r3aM28HX0QCLcBGAsYHQ/s640/04.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/05-1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vO6oZPVho38/XlUJFWW1ouI/AAAAAAALfQg/unM8Ul44Zcg22S3NRe44bN1mp7qOQIBxgCLcBGAsYHQ/s72-c/4-38.jpg)
Waziri Mwakyembe Apokea Ujumbe wa Wadau wa Michezo toka Nchini Misri
![](https://1.bp.blogspot.com/-vO6oZPVho38/XlUJFWW1ouI/AAAAAAALfQg/unM8Ul44Zcg22S3NRe44bN1mp7qOQIBxgCLcBGAsYHQ/s640/4-38.jpg)
Kiongozi wa ujumbe toka nchini Misri akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati ujumbe huoulipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo jijini Dar es Salaam mapema hii leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya sekta ya michezo ikiwemo la ujenzi wa eneo changamani la michezo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/5-30.jpg)
Balozi wa Misri nchini, Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jk550vKcogI/VIWRf-Y6ExI/AAAAAAAG2Bc/X-YCNP6Yb1M/s72-c/unnamed%2B(78).jpg)
Waziri Mwakyembe apokea mabehewa yatakayo boresha usafiri katika reli ya kati
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jk550vKcogI/VIWRf-Y6ExI/AAAAAAAG2Bc/X-YCNP6Yb1M/s1600/unnamed%2B(78).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VFccIln3M5I/VIWRhm36ZbI/AAAAAAAG2Bk/UXjjkbXPttI/s1600/unnamed%2B(81).jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Taarifa fupi ya mafanikio ya utekelezaji wa shughuli za serikali mkoani Singida kipindi cha 2005 — 2014
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan.
Jengo la OPD katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
Jengo la utambuzi wa Magonjwa katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
TAARIFA FUPI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA.doc by moblog
10 years ago
Michuzi08 Oct
TAARIFA FUPI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI MKOANI SINGIDA KIPINDI CHA 2005 - 2014
![Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Mkuu-wa-Mkoa-wa-Singida-Dokta-Parseko-Vicent-Kone.jpg)
![Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Katibu-Tawala-Mkoa-wa-Singida-Bw.-Liana-Hassan..jpg)
![Jengo la OPD katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Jengo-la-OPD-katika-Hospitali-Mpya-ya-rufaa-ya-Mkoa-wa-Singida..jpg)
![Jengo la utambuzi wa Magonjwa katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Jengo-la-utambuzi-wa-Magonjwa-katika-Hospitali-Mpya-ya-rufaa-ya-Mkoa-wa-Singida..jpg)
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mwakyembe: Nimeingia mkataba na JK
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema ameingia mkataba na Rais Jakaya Kikwete, kumwajibisha iwapo mipango ya kuifufua na kuiboresha Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), haitafanikiwa. Alisema hayo wakati akijibu...
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
UNESCO yazindua ripoti ya mafanikio ya mradi wa Wazazi Matineja
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisoma hotuba mbele ya wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Mafanikio ya Mradi wa Wasichana walioacha shule kwa sababu za Ujauzito unaofadhili Ubalozi wa Japan na kuratibiwa na UNESCO.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja blog)
Kamishana wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Prof, Eustella Bhalalusesa...
10 years ago
Habarileo02 Dec
Mwakyembe akabidhiwa ripoti ya ‘madudu’ TRL
KAMATI ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe imekabidhi ripoti ya uchunguzi iliyofanya huku ikitoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa ili kampuni hiyo irudi katika hali yake.
10 years ago
Habarileo11 Apr
JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.