Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakyembe: Nimeingia mkataba na JK

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema ameingia mkataba na Rais Jakaya Kikwete, kumwajibisha iwapo mipango ya kuifufua na kuiboresha Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), haitafanikiwa. Alisema hayo wakati akijibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe apokea ripoti ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005

 Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 Bw. Boniface Kadili (wa pili kushoto) akifafanua jambo  kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati wa kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma  taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 mara baada ya kuipokea mapema hii...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO 2005



 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.Wadau wa...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

-       Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

 Zitto Kabwe, Mb

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani