Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa Magufuli wazua hisia tofauti TZ

Kuchaguliwa kwa waziri wa ujenzi nchini Tanzania Daktari John Magufuli kubeba bendera ya chama tawala cha CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumepokelewa na hisia tofauti na wananchi nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Muziki wa J-Lo wazua hisia kali Morocco

Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa wanasiasa wa kiislamu nchini Morocco za kumtaka waziri wa mawasiliano nchini humo kujiuzulu kufuatia Tamasha la muziki lililomuhusisha msanii Jenifer Lopez

 

10 years ago

Habarileo

Katiba mpya hisia tofauti

RASIMU ya tatu ambayo imetolewa hadharani juzi na Bunge Maalum la Katiba, imepokewa kwa maoni mbalimbali. Baadhi ya wananchi wameipongeza kwa kuingiza mambo ya msingi na wengine wameonesha kutoridhishwa na rasimu hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Katiba yapokewa kwa hisia tofauti

Kikwete na SheinNA WAANDISHI WETU

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba, watu wa kada mbalimbali wameipokea kwa hisia tofauti.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, walisema kuna mambo mengi muhimu ambayo yameachwa ingawa imechukua zaidi ya asilimia 81 ya mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba.

PROFESA MPANGALA

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi

Inawezekana hofu ya Watanzania kuhusu udhaifu wa mikataba ya gesi asilia inachochewa na idadi ndogo ya wataalamu, mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika taaluma hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ilani ya CCM yapokewa kwa hisia tofauti

Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa na uchumi nchini wamekuwa na maoni tofauti juu ya Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!

Na waandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku 35 kuelekea uchaguzi mkuu, kwa nyakati tofauti wagombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamezua balaa kufuatia watu kugombana baada ya kutofautiana kwa hoja za ushabiki, Risasi Jumamosi limesheheni matukio motomoto. Katika tukio la awali, maeneo ya Mbagala- Charambee, jijini Dar mapaparazi wetu...

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata

Hatua ya Rais John Magufuli kuteua na kuwaapisha mawaziri watatu kabla ya kuapishwa kuwa wabunge, imeibua utata huku wanasheria wakihoji jinsi gani watafanya kazi za Kamati za Bunge kabla ya Februari wakati chombo hicho cha kutunga sheria kitakapoanza shughuli zake.

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WA MTAMA WASHINDWA KUZUIA HISIA ZAO KWA RAIS MAGUFULI

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Bashiru Ally akiendelea na ziara yake Mkoani Mtwara kuelekea jimbo la Ndanda kupitia jimbo la Mtama, wazee wameshindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli kwa kuonesha nia ya kutaka kumchangia gharama za fomu za Urais mwaka 2020.

Akieleza kwa niaba ya wazee hao, Mbunge wa jimbo la Mtama Ndg. Nape Mosses Nnaye, ameleeza kuwa wazee wapo tayari na wamejipanga kumchangia gharama za fomu za Urais ili kuonesha mapenzi yao kwake kutokana na namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani