Katiba yapokewa kwa hisia tofauti
NA WAANDISHI WETU
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba, watu wa kada mbalimbali wameipokea kwa hisia tofauti.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, walisema kuna mambo mengi muhimu ambayo yameachwa ingawa imechukua zaidi ya asilimia 81 ya mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba.
PROFESA MPANGALA
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Ilani ya CCM yapokewa kwa hisia tofauti
10 years ago
Habarileo26 Sep
Katiba mpya hisia tofauti
RASIMU ya tatu ambayo imetolewa hadharani juzi na Bunge Maalum la Katiba, imepokewa kwa maoni mbalimbali. Baadhi ya wananchi wameipongeza kwa kuingiza mambo ya msingi na wengine wameonesha kutoridhishwa na rasimu hiyo.
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Uchaguzi wa Magufuli wazua hisia tofauti TZ
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Kauli zilizovuta hisia ya wengi Bunge Maalum la Katiba Dodoma
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sXUZNx4-URk/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Tofauti za hoja, fikra ndizo zitaipa nchi Katiba Bora- Ngeze
10 years ago
Habarileo02 Mar
Mapendekezo ya Mbeya igawanywe yapokewa
SERIKALI imepokea maombi ya kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) cha Mkoa wa Mbeya yanayopendekeza mkoa huo ugawanywe na kupata mikoa miwili ya Mbeya na Songwe.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg95USMBVwY1AMlJRPNky25ZN6cCR988zDmDesmQ5a1u6oEZV70sh6YrQAsthrbEu*SxhZA6-rtw9ZXZhOmmkhnc/mahaba.jpg)
NJIA RAHISI ZA KUFIKISHA HISIA KWA UMPENDAYE!-2