Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapendekezo ya Mbeya igawanywe yapokewa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imepokea maombi ya kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) cha Mkoa wa Mbeya yanayopendekeza mkoa huo ugawanywe na kupata mikoa miwili ya Mbeya na Songwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ashauri Kwimba igawanywe wilaya mbili

MBUNGE wa Sumve, Richard Ndassa ameomba wilaya ya Kwimba igawanywe zipatikane mbili kutokana na kile alichosema ni kubwa na yenye idadi kubwa ya watu.

 

9 years ago

Habarileo

Samia: Ichagueni CCM Tabora igawanywe kwa maendeleo

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema, iwapo wananchi wa Tabora watakiwezesha chama hicho kuongoza nchi tena, mkoa huo utaweza kugawanywa ili maendeleo yapatikane kirahisi.

 

10 years ago

Mtanzania

Katiba yapokewa kwa hisia tofauti

Kikwete na SheinNA WAANDISHI WETU

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba, watu wa kada mbalimbali wameipokea kwa hisia tofauti.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, walisema kuna mambo mengi muhimu ambayo yameachwa ingawa imechukua zaidi ya asilimia 81 ya mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba.

PROFESA MPANGALA

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Ilani ya CCM yapokewa kwa hisia tofauti

Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa na uchumi nchini wamekuwa na maoni tofauti juu ya Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya watoto wa mtaani kutoka Tanzania iliyoibuka mabingwa wa dunia katika mchezo wa soka yapokewa kishujaa

Afisa Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Frank Shija akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya watoto wa mitaani    Mwenyekiti wa Timu ya watoto wa mitaani ya jijini Mwanza Alfat Mansoor (Dogo) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya timu hiyo kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini Dar es Salaam.  Mchezaji aliyesabibisha timu ya watoto wa mitaani kutoka Tanzania kuibuka mabingwa wa Dunia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mapendekezo ya Zitto balaa

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa  kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema. Mbali...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapendekezo ya CAG yanapuuzwa

Dar es Salaam. Ushauri unaotolewa mara kwa mara kwa Serikali, taasisi zake na mashirika ya umma umekuwa ukipuuzwa na kusababisha Serikali kuendelea kupoteza fedha nyingi kwa njia ya ufisadi huku Deni la Taifa likizidi kukua, kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi maalumu wa miaka mitano ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Mwananchi

TCD yashauri mapendekezo 16

Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimetoa maazimio 16 likiwemo la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kujenga hoja na kuepuka kusukumwa na maslahi binafsi na ya vyama vyao vya siasa katika mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapendekezo ya katiba yapishwa:Uganda

Wajumbe wa chama tawala cha National Resistance Movement nchini Uganda wamepitisha mapendekezo ya katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani