Mapendekezo ya Zitto balaa
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema. Mbali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Feb
TCD yashauri mapendekezo 16
10 years ago
Mwananchi21 May
Mapendekezo ya CAG yanapuuzwa
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Mapendekezo ya katiba yapishwa:Uganda
11 years ago
Habarileo19 Mar
Siri ya mapendekezo ya Tume ya Warioba
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja mambo manne yaliyoishawishi Tume yake kupendekeza Muungano wa serikali tatu. Mambo hayo ni Tanganyika kuvaa koti la Muungano, kuongezeka kwa mambo ya Muungano, mgongano wa Katiba, michango na gharama za Muungano na mgao wa mapato ambayo alisema yanahatarisha Muungano wa sasa wa serikali mbili.
10 years ago
Habarileo27 Nov
Mapendekezo mengine mazito ya PAC
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilitoa mapendekezo mengine bungeni mjini Dodoma yafuatayo:
Hukumu ya Jaji
Utamwa Kamati inaitaka Serikali kwenda mahakamani kuomba mapitio ya hukumu iliyoletwa na Jaji John Utamwa.
Kamati inaitaka Serikali kwa mujibu wa sheria na makubaliano ya mkataba, kuchukua mtambo wa IPTL na kuumilikisha kwa Tanesco Kamati inaielekeza Serikali kufanya uchunguzi kwanza kama malipo ya Capacity Charges yaliyolipwa kwa miaka minne kama kuhudumia mkopo kabla ya...
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
IMF yapokea mapendekezo ya Ugiriki
10 years ago
Habarileo02 Mar
Mapendekezo ya Mbeya igawanywe yapokewa
SERIKALI imepokea maombi ya kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) cha Mkoa wa Mbeya yanayopendekeza mkoa huo ugawanywe na kupata mikoa miwili ya Mbeya na Songwe.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Chenge: Asilimia 75 ya mapendekezo ni ya Tume
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Ugiriki yatoa mapendekezo kujinusuru