Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugiriki yatoa mapendekezo kujinusuru

Hatimaye Serikali ya Ugiriki imewasilisha mapendekezo yake ya kutafuta ukombozi wa mkopo kutoka kwa wadeni wake .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IMF yapokea mapendekezo ya Ugiriki

Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limepokea mapendekezo mapya kutoka serikali ya Ugiriki .

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge launga mkono mapendekezo Ugiriki

Bunge la Ugiriki limeunga mkono mapendekezo ya hivi punde ya serikali yenye lengo la kumaliza tatizo la deni la nchi hiyo

 

11 years ago

GPL

Wambura agushi barua kujinusuru Simba SC

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC, Damas Ndumbaro, amesema wazi kuwa aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura, alifoji barua iliyoonyesha kuwa amerudishiwa uanachama wake. Hatua hiyo inakuja baada ya Wambura kuwasilisha barua tatu zilizoonyesha aliwahi kusimamishwa na uongozi wa Simba, kisha...

 

5 years ago

CCM Blog

WANAOISHI MABONDENI MUHORO NA CHUMBI WAONDOKE KUJINUSURU NA MAAFA YA MVUA-RC NDIKILO


 *******************************NA MWAMVUA MWINYI,RUFIJIMWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameagiza, wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo salama kwako ili kujiepusha na maafa na madhara makubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Amesema ,hadi sasa maafa tayari ni makubwa na takwimu zilizofika mkoani hadi sasa ni takriban hekta 6,600 za mashamba...

 

5 years ago

Michuzi

RC NDIKILO AAGIZA WANAOISHI MABONDENI RUFIJI WAHAME ILI KUJINUSURU NA MAAFA YA MVUA

NA MWAMVUA MWINYI,RUFIJI

MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameagiza, wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo salama, ili kujiepusha na maafa na madhara makubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Amesema ,hadi sasa maafa tayari ni makubwa na takwimu zilizofika mkoani hadi sasa ni takriban hekta 6,600 za mashamba na makazi ya watu zimeathirika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mapendekezo ya Zitto balaa

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa  kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema. Mbali...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapendekezo ya CAG yanapuuzwa

Dar es Salaam. Ushauri unaotolewa mara kwa mara kwa Serikali, taasisi zake na mashirika ya umma umekuwa ukipuuzwa na kusababisha Serikali kuendelea kupoteza fedha nyingi kwa njia ya ufisadi huku Deni la Taifa likizidi kukua, kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi maalumu wa miaka mitano ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Mwananchi

TCD yashauri mapendekezo 16

Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimetoa maazimio 16 likiwemo la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kujenga hoja na kuepuka kusukumwa na maslahi binafsi na ya vyama vyao vya siasa katika mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Mapendekezo mengine mazito ya PAC

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilitoa mapendekezo mengine bungeni mjini Dodoma yafuatayo:

Hukumu ya Jaji

Utamwa Kamati inaitaka Serikali kwenda mahakamani kuomba mapitio ya hukumu iliyoletwa na Jaji John Utamwa.

Kamati inaitaka Serikali kwa mujibu wa sheria na makubaliano ya mkataba, kuchukua mtambo wa IPTL na kuumilikisha kwa Tanesco Kamati inaielekeza Serikali kufanya uchunguzi kwanza kama malipo ya Capacity Charges yaliyolipwa kwa miaka minne kama kuhudumia mkopo kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani