Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba mpya hisia tofauti

RASIMU ya tatu ambayo imetolewa hadharani juzi na Bunge Maalum la Katiba, imepokewa kwa maoni mbalimbali. Baadhi ya wananchi wameipongeza kwa kuingiza mambo ya msingi na wengine wameonesha kutoridhishwa na rasimu hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Katiba yapokewa kwa hisia tofauti

Kikwete na SheinNA WAANDISHI WETU

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba, watu wa kada mbalimbali wameipokea kwa hisia tofauti.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, walisema kuna mambo mengi muhimu ambayo yameachwa ingawa imechukua zaidi ya asilimia 81 ya mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba.

PROFESA MPANGALA

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi

Inawezekana hofu ya Watanzania kuhusu udhaifu wa mikataba ya gesi asilia inachochewa na idadi ndogo ya wataalamu, mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika taaluma hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Magufuli wazua hisia tofauti TZ

Kuchaguliwa kwa waziri wa ujenzi nchini Tanzania Daktari John Magufuli kubeba bendera ya chama tawala cha CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumepokelewa na hisia tofauti na wananchi nchini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ilani ya CCM yapokewa kwa hisia tofauti

Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa na uchumi nchini wamekuwa na maoni tofauti juu ya Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli zilizovuta hisia ya wengi Bunge Maalum la Katiba Dodoma

>Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia  michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani