Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Kalapina – Magufuli Balaa

kalaapina

Aliyekua Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Act Wazalendo na Mwana muziki wa Hip Hop Kalapina ameamua kuingia studio na kuandika wimbo unaomhusu Rais Magufuli, Unaitwa “Magufuli balaa” Umetengenezwa na Dunga wa 41 Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kalapina afungukia kumsifia Rais Magufuli

CHANDE ABDALLAH

MKALI wa nyimbo za harakati na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupita tiketi ya Chama cha ACT, Kalama Masoud, ‘Kala Pina’ amefungukia sababu za kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia wimbo wake wa Magufuli Balaa.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Kala Pina alisema kuwa japo kuwa yeye anatokea chama cha upinzani lakini hiyo haimaanishi kuwa lazima apinge kila kitu na kudai kuwa amependa kasi ya utendaji wa rais na yeye kama msanii...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!

Na waandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku 35 kuelekea uchaguzi mkuu, kwa nyakati tofauti wagombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamezua balaa kufuatia watu kugombana baada ya kutofautiana kwa hoja za ushabiki, Risasi Jumamosi limesheheni matukio motomoto. Katika tukio la awali, maeneo ya Mbagala- Charambee, jijini Dar mapaparazi wetu...

 

9 years ago

Michuzi

HILI NDILO BALAA LA MAGUFULI KATIKA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA LEO

 Nyomi la Watu katika mkutano wa kampeni. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika Oktoba 25  mwaka huu. Maelfu ya Wananchi wa Tunduma waliojitokeza  kumsikiliza...

 

9 years ago

Mwananchi

Kalapina, Mwakalebela kukimbilia mahakamani

Waliokuwa wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini hivi karibuni, Frederick Mwakalebela (Iringa Mjini-CCM) na Karama Masoud ‘Kalapina’ (Kinondoni ACT- Wazalendo) wamesema wanatarajia kwenda mahakamani kupinga matokeo.

 

9 years ago

Habarileo

Kalapina kuwania ubunge Kinondoni

MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Kalama Masoud ‘Kalapina’ aliyekuwa amewekewa pingamizi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni, ameshinda rufani yake katika Tume ya Uchaguzi na kwa sasa ni mgombea rasmi wa jimbo hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani