Kalapina afungukia kumsifia Rais Magufuli
CHANDE ABDALLAH
MKALI wa nyimbo za harakati na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupita tiketi ya Chama cha ACT, Kalama Masoud, ‘Kala Pina’ amefungukia sababu za kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia wimbo wake wa Magufuli Balaa.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Kala Pina alisema kuwa japo kuwa yeye anatokea chama cha upinzani lakini hiyo haimaanishi kuwa lazima apinge kila kitu na kudai kuwa amependa kasi ya utendaji wa rais na yeye kama msanii...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Dec
Music: Kalapina – Magufuli Balaa
Aliyekua Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Act Wazalendo na Mwana muziki wa Hip Hop Kalapina ameamua kuingia studio na kuandika wimbo unaomhusu Rais Magufuli, Unaitwa “Magufuli balaa” Umetengenezwa na Dunga wa 41 Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Trump amshukuru Putin kwa kumsifia
11 years ago
GPLUSIPORIDHIKA NA KUMSIFIA MKEO, WENZAKO WATAMSIFIA - 2
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu ashiriki msiba wa mjukuu Rais Dk. Magufuli!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za...
9 years ago
StarTV16 Dec
Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao
Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.
Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO
Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.
Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...