Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Introducing new hit single by Kalapina: Magufuli Balaa!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Kalapina – Magufuli Balaa

kalaapina

Aliyekua Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Act Wazalendo na Mwana muziki wa Hip Hop Kalapina ameamua kuingia studio na kuandika wimbo unaomhusu Rais Magufuli, Unaitwa “Magufuli balaa” Umetengenezwa na Dunga wa 41 Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Michuzi

introducing THT'S star Question's hit single 'Nakupenda' and movie debut

Si mwengine ila ni yule yule Mkali wa Dance Tanzania kutoka THT kwa jina la Question ambaye ametoa nyimbo yake mpya na kuonyesha kipaji chake kingine cha kuimba na nyimbo iitwayo 'Nakupenda'  Vilevile atakuja na movie yake ambayo ipo kwenye mapishi na Action kali ambazo hazijawahi kutokea in Bongo Movies. Sponsors wa movie hio wanatafutwa  wasiliananae simu 0717792876.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani