Trump amshukuru Putin kwa kumsifia
Kwenye hotuba kwa taifa Putin alimtaja Donald Trump kama mtu anayependeza na mwenye ujuzi. Trump naye amemsifu sana Rais Putin
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CNBC02 Apr
Trump tells CNBC he spoke to Putin, MBS and expects Saudis, Russia to announce 10 million barrel cut
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36
10 years ago
Habarileo28 Dec
Chibulunje amshukuru Mungu kwa miaka 20 ya utumishi
MBUNGE wa Jimbo la Chilonwa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Ezekiah Chibulunje (CCM) amesema anamuomba Mungu apatikane kiongozi bora kurithi nyayo zake katika kuongoza jimbo hilo.
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.
“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.
Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka.
10 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziMEYA MSTAAFU WA JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...
5 years ago
MichuziSERIKALI YATOA MABATI 324 KWA WILAYA YA KONGWA, DC NDEJEMBI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kukuza elimu na kuendana na sera ya elimu bila malipo, serikali imetoa mabati 324 kwa Shule ya Msingi Manungu iliyopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miundombinu ya elimu wilayani humo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara amesema mabati hayo yatatumika kuezeka madarasa matano yaliyojengwa kwa nguvu za wananachi.
Waitara amesema serikali imefurahishwa na nguvu iliyotumika na wananchi hao chini ya Mkuu wa...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Kalapina afungukia kumsifia Rais Magufuli
CHANDE ABDALLAH
MKALI wa nyimbo za harakati na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupita tiketi ya Chama cha ACT, Kalama Masoud, ‘Kala Pina’ amefungukia sababu za kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia wimbo wake wa Magufuli Balaa.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Kala Pina alisema kuwa japo kuwa yeye anatokea chama cha upinzani lakini hiyo haimaanishi kuwa lazima apinge kila kitu na kudai kuwa amependa kasi ya utendaji wa rais na yeye kama msanii...
11 years ago
GPLUSIPORIDHIKA NA KUMSIFIA MKEO, WENZAKO WATAMSIFIA - 2