Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chibulunje amshukuru Mungu kwa miaka 20 ya utumishi

Ezekiah ChibulunjeMBUNGE wa Jimbo la Chilonwa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Ezekiah Chibulunje (CCM) amesema anamuomba Mungu apatikane kiongozi bora kurithi nyayo zake katika kuongoza jimbo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NYALANDU KUFANYA TAMASHA KUBWA LA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MIAKA 15 YA UBUNGE WAKE


Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Desemba 28, 2014 (kesho J’pili) atafanya mkutano mkubwa kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na wananchi wa Singida Vijijini na Watanzania wote kwa kutimiza miaka 15 ya ubunge.

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Mbunge huyo, Elia Diga, imesema kuwa mkutano huo ambao utaambatana na burudani mbalimbali, utafanyika katika Kata ya Ilongero na utahudhuriwa na viongozi wa Chama na serikali, viongozi wa dini zote na wananchi zaidi ya...

 

5 years ago

Michuzi

MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump amshukuru Putin kwa kumsifia

Kwenye hotuba kwa taifa Putin alimtaja Donald Trump kama mtu anayependeza na mwenye ujuzi. Trump naye amemsifu sana Rais Putin

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chibulunje ataka wodi ya wazazi

SERIKALI imeshindwa kujenga jengo la wodi ya wazazi katika hospitali ya Rufaa Mkoani hapa  kwa miaka minane iliyopita. Hata hivyo mpaka sasa haijulikani ujenzi huo utakamilika lini kwani kutokuwepo kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.

“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.

Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka.

 

11 years ago

Michuzi

MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA NA USHIRIKIANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikiano katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 10 ya utumishi wa umma

01

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi Claudia Mpangala akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Kongamano la maadhimisho ya Miaka 10   ya Tume hiyo tangu kuanzishwa kwake ambapo Kongamano hilo litawahusisha Mawaziri, KatibuMkuu Kiongozi na Watendaji Wakuu kutoka katika Wizara, Idara zinazojitegemea,Taasisi na Mashirika ya Umma. Kulia ni Naibu katibu wa Tume hiyo Bi NeemaTawale.

02

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi Claudia Mpangala akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Kongamano la...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA MABATI 324 KWA WILAYA YA KONGWA, DC NDEJEMBI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI


Charles James, Globu ya Jamii

KATIKA kukuza elimu na kuendana na sera ya elimu bila malipo, serikali imetoa mabati 324 kwa Shule ya Msingi Manungu iliyopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.

Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miundombinu ya elimu wilayani humo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara amesema mabati hayo yatatumika kuezeka madarasa matano yaliyojengwa kwa nguvu za wananachi.

Waitara amesema serikali imefurahishwa na nguvu iliyotumika na wananchi hao chini ya Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani