Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Miaka 90 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi

Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90. Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yakeUNGANA NASI

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU... Mzee Ali Hassan Mwinyi Mgeni Rasmi

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalaghona AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini),...

 

10 years ago

Vijimambo

Miaka 90 ya Rais Ali Hassan Mwinyi

Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90.
Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yake
UNGANA NASI

 

10 years ago

GPL

ALHAJ ALI HASSAN MWINYI NA MHE. EDWARD LOWASSA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 20 YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MAASAI, MONDULI

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi  katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai, Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto. Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi… ...

 

10 years ago

Michuzi

alhaj ali hassan mwinyi na mhe edward lowassa katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai, monduli, leo

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi  katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai,leo Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto. Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi

> ‘Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wetu wote wapumzike kwa amani.’ Amina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani