Miaka 90 ya Rais Ali Hassan Mwinyi
![](http://2.bp.blogspot.com/-blHF9qgvWyI/VUwfSTbsemI/AAAAAAAAImo/256JN_FkEr4/s72-c/Alhaj%2BA.%2BH.%2BMwinyi.jpg)
Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90.
Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yake
UNGANA NASI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola. Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-blHF9qgvWyI/VUwfSTbsemI/AAAAAAAAImo/256JN_FkEr4/s72-c/Alhaj%2BA.%2BH.%2BMwinyi.jpg)
Miaka 90 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi
![](http://2.bp.blogspot.com/-blHF9qgvWyI/VUwfSTbsemI/AAAAAAAAImo/256JN_FkEr4/s640/Alhaj%2BA.%2BH.%2BMwinyi.jpg)
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC
10 years ago
MichuziRais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi wamtembelewa balozi Mulamula
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HlyKQC6Okzw/default.jpg)
11 years ago
Michuzi05 Jul
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ABDULRAHMAN KINANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA TIMU YA AZAM FC, CHAMAZI
![](https://2.bp.blogspot.com/-C0dVSzy7IFw/U7azXD4EGeI/AAAAAAACwjA/pu7PijZNyjg/s1600/001.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-Lnp-vRgXalQ/U7azeHK92yI/AAAAAAACwjk/CX7ssjyL_c0/s1600/01.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nx03ocxbc1U/XrVjLB0fSCI/AAAAAAALpfg/no6Ws3gz4uwOPydcdJU3ePRpvDbuvaIpwCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.
Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...
LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.
Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania